demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Kwa utashi wangu wa kusoma uhalisia, na Hali halisi ya Klabu ya Simba SC. Hasa falsafa za Kocha Fadlu, Basi sioni namba watakayo tumia Simba kuwatoa Al Ahly Tripoli na kutinga makundi.
Sioni namna Kocha Fadlu anaweza kubadilisha namna take ya uchezaji.
Sioni namna ule Moto atalio pelekewa Simba kule Libya ukienda kupoa pale Taifa.
Sioni namna striker Valentino Mashaka akienda kuisumbua Safi ya waLibya.
Kiufupi SIONI NAMNA.