Sioni Simba SC Akifuzu Kuingia Makundi Kombe la Shirikisho CAF.

Kwa utashi wangu wa kusoma uhalisia, na Hali halisi ya Klabu ya Simba SC. Hasa falsafa za Kocha Fadlu, Basi sioni namba watakayo tumia Simba kuwatoa Al Ahly Tripoli na kutinga makundi.

Sioni namna Kocha Fadlu anaweza kubadilisha namna take ya uchezaji.

Sioni namna ule Moto atalio pelekewa Simba kule Libya ukienda kupoa pale Taifa.

Sioni namna striker Valentino Mashaka akienda kuisumbua Safi ya waLibya.

Kiufupi SIONI NAMNA.
Nyokooo.....
 
Huwezi kuona mpaka uwe na macho.
 
Kwa utabiri uliotukuka naomba ukajipongeze na supu kwenye ule mtaa unaopita maji machafu.
 
Simba ya sasa ni mbovu sana!
Mwarabu akitangulia kuwafunga wamekwisha!
Wale akina Ateba hakuna kitu pale!
Viwango vya wachezaji wa Simba ni vya chini mno!
Simba safari hii inatoka mapema sana na Tena kwa aibu!
Simba ni timu ya kucheza dk 90 bila short on target!!
Washabiki wanatembelea jina Simba tu lakini hakuna timu pale ya hadhi ya mashindano ya Kimataifa!!
Hiloooooo
 
Kwa utashi wangu wa kusoma uhalisia, na Hali halisi ya Klabu ya Simba SC. Hasa falsafa za Kocha Fadlu, Basi sioni namba watakayo tumia Simba kuwatoa Al Ahly Tripoli na kutinga makundi.

Sioni namna Kocha Fadlu anaweza kubadilisha namna take ya uchezaji.

Sioni namna ule Moto atalio pelekewa Simba kule Libya ukienda kupoa pale Taifa.

Sioni namna striker Valentino Mashaka akienda kuisumbua Safi ya waLibya.

Kiufupi SIONI NAMNA.
Sawa.. Simba imeingia wapi leo
 
downloadfile-37.jpg
 
Back
Top Bottom