Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Nikimbilie wapi na tushafuzuWee half cast koko, kesho usikimbiee. [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikimbilie wapi na tushafuzuWee half cast koko, kesho usikimbiee. [emoji23][emoji23][emoji23]
Kama wewe ndio utakae cheza kesho sawa nakubaliana na utashi wakoKwa utashi wangu wa kusoma uhalisia, na Hali halisi ya Klabu ya Simba SC. Hasa falsafa za Kocha Fadlu, Basi sioni namba watakayo tumia Simba kuwatoa Al Ahly Tripoli na kutinga makundi.
Sioni namna Kocha Fadlu anaweza kubadilisha namna take ya uchezaji.
Sioni namna ule Moto atalio pelekewa Simba kule Libya ukienda kupoa pale Taifa.
Sioni namna striker Valentino Mashaka akienda kuisumbua Safi ya waLibya.
Kiufupi SIONI NAMNA.
Huo ndio ukweli.Kwa utashi wangu wa kusoma uhalisia, na Hali halisi ya Klabu ya Simba SC. Hasa falsafa za Kocha Fadlu, Basi sioni namba watakayo tumia Simba kuwatoa Al Ahly Tripoli na kutinga makundi.
Sioni namna Kocha Fadlu anaweza kubadilisha namna take ya uchezaji.
Sioni namna ule Moto atalio pelekewa Simba kule Libya ukienda kupoa pale Taifa.
Sioni namna striker Valentino Mashaka akienda kuisumbua Safi ya waLibya.
Kiufupi SIONI NAMNA.
Kesho simba atapigwa kama Ngoma
Nashukuru Mkuu, mimi kutambulika mchango wangu pekee nimefarijika sana. Mengineyo ni majaaliwa.Ongera nifa kwa michongo yako iliyotukuka katika tathinia ya habari za burudani. Cjui watakupa pesa au ?
Simba ya sasa ni mbovu sana!Huyo jamaa anasahau haraka sana. Simba ni lidude likubwa sana. Kama hawakushiba ya kwenye sahani, ndiyo watakuja kushiba ya kwenye kijiko?
Kwa Mkapa hatoki mtu.
Ova
Chelsea ya 2012 mechi ya fainali mpaka 90 hakuna On target, 93+ ndio On target na goli la kusawazisha.Simba ya sasa ni mbovu sana!
Mwarabu akitangulia kuwafunga wamekwisha!
Wale akina Ateba hakuna kitu pale!
Viwango vya wachezaji wa Simba ni vya chini mno!
Simba safari hii inatoka mapema sana na Tena kwa aibu!
Simba ni timu ya kucheza dk 90 bila short on target!!
Washabiki wanatembelea jina Simba tu lakini hakuna timu pale ya hadhi ya mashindano ya Kimataifa!!
Umesema kweli siini Simba wakijituma sioniKwa utashi wangu wa kusoma uhalisia, na Hali halisi ya Klabu ya Simba SC. Hasa falsafa za Kocha Fadlu, Basi sioni namba watakayo tumia Simba kuwatoa Al Ahly Tripoli na kutinga makundi.
Sioni namna Kocha Fadlu anaweza kubadilisha namna take ya uchezaji.
Sioni namna ule Moto atalio pelekewa Simba kule Libya ukienda kupoa pale Taifa.
Sioni namna striker Valentino Mashaka akienda kuisumbua Safi ya waLibya.
Kiufupi SIONI NAMNA.
Kwa utashi wangu wa kusoma uhalisia, na Hali halisi ya Klabu ya Simba SC. Hasa falsafa za Kocha Fadlu, Basi sioni namba watakayo tumia Simba kuwatoa Al Ahly Tripoli na kutinga makundi.
Sioni namna Kocha Fadlu anaweza kubadilisha namna take ya uchezaji.
Sioni namna ule Moto atalio pelekewa Simba kule Libya ukienda kupoa pale Taifa.
Sioni namna striker Valentino Mashaka akienda kuisumbua Safi ya waLibya.
Kiufupi SIONI NAMNA.
Angalia NAMNA ulivyoumbuka,muwemnaweka akiba ya maneno.Kwa utashi wangu wa kusoma uhalisia, na Hali halisi ya Klabu ya Simba SC. Hasa falsafa za Kocha Fadlu, Basi sioni namba watakayo tumia Simba kuwatoa Al Ahly Tripoli na kutinga makundi.
Sioni namna Kocha Fadlu anaweza kubadilisha namna take ya uchezaji.
Sioni namna ule Moto atalio pelekewa Simba kule Libya ukienda kupoa pale Taifa.
Sioni namna striker Valentino Mashaka akienda kuisumbua Safi ya waLibya.
Kiufupi SIONI NAMNA.
Kwa utashi wangu wa kusoma uhalisia, na Hali halisi ya Klabu ya Simba SC. ... sioni namna watakayo tumia Simba kuwatoa Al Ahly Tripoli na kutinga makundi.