Sioni Simba SC Akifuzu Kuingia Makundi Kombe la Shirikisho CAF.

Kama wewe ndio utakae cheza kesho sawa nakubaliana na utashi wako
 
Huo ndio ukweli.
Simba kesho tuna mlima mrefu mnoo kuuvuka. Sioni dalili kuweza kuvuka.

Tujiandae kisaikolojia.
 
Ongera nifa kwa michongo yako iliyotukuka katika tathinia ya habari za burudani. Cjui watakupa pesa au ?
Nashukuru Mkuu, mimi kutambulika mchango wangu pekee nimefarijika sana. Mengineyo ni majaaliwa.
 
Huyo jamaa anasahau haraka sana. Simba ni lidude likubwa sana. Kama hawakushiba ya kwenye sahani, ndiyo watakuja kushiba ya kwenye kijiko?

Kwa Mkapa hatoki mtu.

Ova
Simba ya sasa ni mbovu sana!
Mwarabu akitangulia kuwafunga wamekwisha!
Wale akina Ateba hakuna kitu pale!
Viwango vya wachezaji wa Simba ni vya chini mno!
Simba safari hii inatoka mapema sana na Tena kwa aibu!
Simba ni timu ya kucheza dk 90 bila short on target!!
Washabiki wanatembelea jina Simba tu lakini hakuna timu pale ya hadhi ya mashindano ya Kimataifa!!
 
Chelsea ya 2012 mechi ya fainali mpaka 90 hakuna On target, 93+ ndio On target na goli la kusawazisha.

Mbinu za mwalimu katika mchezo husika ndio zitaamua takwimu katika mechi.

Amini, kesho Simba itakuwa tofauti na ile iliyocheza kule.
 
Yanaanza kutimia Sasa.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Umesema kweli siini Simba wakijituma sioni

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Sasa hivi unaonaje ndugu mtabiri?

 
Angalia NAMNA ulivyoumbuka,muwemnaweka akiba ya maneno.
 

Pole, ni matatizo ya macho labda, nenda CCBRT

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…