Sioni tatizo lolote mtu kujiandaa kuwa Rais wa Tanzania mwaka 2030

Sioni tatizo lolote mtu kujiandaa kuwa Rais wa Tanzania mwaka 2030

Ukiulizwa jibu, sio unajibu kwa kuuliza, we vipi!.

Makundi ya Urais CCM ndio chanzo cha rushwa na ufisadi, mfano 2015, kuna jamaa alikamatwa na pesa Dodoma akiwa anajiandaa kuhonga wajumbe.

Siku hizi umekuwa chawa haya mambo huwezi kuyakumbuka.
Kama kweli alikamatwa na Rushwa alishtakiwa mahakama ipi? Zile zilikuwa futuhi kama futuhi zingine tu
 
Urais wa 2030 unatafutwa Kwa kuhujumu jitihada za Rais aliyepo madarakani kutimiza ahadi alotoa Kwa wananchi?

Urais unatafutwa Kwa waziri kuacha majukumu aliyopewa na aliyemteua na kufanya UDALALI wa gesi ya wafanyabiashara?

Urais unatafutwa Kwa kutengeneza mgao wa umeme?

Urais unatafutwa Kwa waziri kuacha ofisi na kwenda kusikiliza kero za wananchi zisohusiana na wizara husika ya fedha aloteuliwa kwayo??

Uwaziri unatafutwa Kwa kupandishwa Bei za vifurushi vya data Ili zipatikane pesa za 2030?
Nani anahujumu au anafanya udalali?

Hizo ngonjera za kutunga muishie nazo huko huko kwenu sio humu kwenye watu wenye akili zao
 
Back
Top Bottom