Sioni umuhimu wa daraja la Aga Khan - Coco beach kwa sasa

Tofautisha umuhimu wa daraja la Kigamboni na hili, population ya Kigamboni ni kubwa activities zake ni nyingi na huko Kigamboni inakwenda kuwa manispaa.

Unataka kusema mtu wa mbezi beach akishashuka cocobeach foleni ndiyo inakwisha sidhani, ndiyo maana nimesema ni daraja la wakazi wa Masaki tena lingeitwa Masaki bridge.
 
 
Kwanza nikuhakikishie serikali haikurupuki hata kidogo miladi mingi huifanyia tafiti kwanza na makosa kama yapo huanzia hapa watafiti wengi ni makanjanja hivyo hutoa matokeo yasiyo halisi na kwa kuwa ndizo tafiti pekee tulizo nazo serikali lazima izifanyie kazi.

Kingine hii miradi haizuii mingine kwamba mradi wa salanda utazuia wa jangwani hapana, wewe kama kilio chako ni jangwani sema tu tunahitaji dalaji jangwani pia? kwani kazi ya serikali ni ipi?
 

Serikali ya Tanzania inachangia asilimia kumi na Tisa19% na pesa yote inatolewa na serkali ya Korea sasa sie tukatae wakati ni faida kwetu?
 
MTU wa mbezi beach akifika mwai kibaki anakutana na foleni
 
Kwahio hawa wengine wa Masaki,O'bay,Msasani,Mikocheni sio waTz?
Oysterbay ,Masaki wanakaa wazungu na viongozi wa serikalini ,ambao wengi wana magari binafsi,hawana tabu za madaladala,lakini huko uswekeni wakijenga daraja hil la mkwajuni-muhimbili hapa kati tunapiga lege tu TZ 11 ambapo ni shortcut kwahiyo nauli nauli za kwenda KKo/Posta zinapungua.
 
Ndio maana huoni umuhimu wa kukarabati ofisi yetu ya makao makuu pale ufipa. Sasa naanza kuelewa.
 
Watalii wanatakiwa wasiathirike kabisa na 'traffic jam'. Kwa hiyo kutoka uwanja wa ndege wa kimataifa wa mwalimu Nyerere, kupitia kwenye flyover ya TAZARA, kupitia hilo daraja la Masaki, mpaka mahoteli ya ufukweni inatakiwa mtalii atembee kama yuko ma'ulaya hivi!
 
Sawa hoja yangu pia imejikita kwenye kipaumbele, kipi bora kianze daraja la salenda au la jangwani, tayari tunajua madhara ya jangwani wakati wa mvua mabasi ya mwendo kasi yalisimama kwa wiki nzima ni hasara kiasi gani ilitokea.
 
Ivi mbona nyie kaz yenu kupinga tu kila jambo? mtu unakaa kwa mtogole utaujua saa ngapi umuhimu wa barabara hii...mimi naishi kunduch na ili kukwepa foleni huwa nikifika moroko naingia msasani then oysterbay then narudi salenda...sasa kwa daraja hili ina maana nitainyoosha moja kwa moja via daraja jipya...ebu tuacheni jamani...mbona kigamboni wana kivuko wana njia ya kongowe na still walipewa daraja??
 
Aghakhani to O'bay tuwe wakweli hilo daraja la ni wadosi - foleni yetu kwenye taa za salender itabakia palepale.
 
ndugu,foleni dar inapoteza mabilioni ya shilingi kwa siku,kuna kipindi hiyo barabara mitaa ya kino pale,kasi ya gari ilikua 16km/h..
 
Aghakhani to O'bay tuwe wakweli hilo daraja la ni wadosi - fokeni yetu kwenye taa za salender itabakia palepale.
kwani umekatazwa kupita darajani na kuendelea na safari yako!?
 
Hilo ni tatizo lako binafsi linalotokana na mtazamo wako hasi kwa Serikali iliyopo madarakani
 
Lengo ni kupendezesha mji banaaa

Daraja likipona itatoka view moja matata sana palee....
Hatimaye Masaki itafurika magari kutokea Bunju na Goba, kupitia Mbezi Chini, Mikocheni kupitia Masaki kwenda Feri
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hilo ni tatizo lako binafsi linalotokana na mtazamo wako hasi kwa Serikali iliyopo madarakani
Endelea na upofu wako tunajua kwasasa huwezi kuhoji chochote acha tulio huru kifikira tuhoji.
 
Huu ujinga wa kutengenezeana flyover za urefu wa kama pale Tazara halafu kutangaza zinasaidia kupunguza foleni ni kusababisha Tanzania nzima kuonekana machizi
fly over ya TAZARA ni kwa ajili ya wanaokwenda AirPort. Gongolamboto wameponea hapo. WaMandela rd wataendelea kulia na pini ya Buguruni mataa. Uliangalia kwa jicho la 3 hii Miradi ina UKAKASI
 

ingependeza zaidi kuondoa kero ya mafuriko Jangwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…