Sioni umuhimu wa daraja la Aga Khan - Coco beach kwa sasa

Umuhimu mnao uona hapo ufipa ni wa biashara ya mwenyekiti wenu tu ( Madawa)
Mkuu etwege!..wewe ni mtu muhimu sana ktk hili, tumekuwa tukimtafuta mwenyekiti ili tumshugulikie lkn mara zote tumekosa ushahidi kiasi kwamba tunaonekana kuwa tunambambikia kesi, na wengine wanatubeza kwa kutuambia kuwa tunatumwa tu kama yule mbwa maarufu aliyepotea bandarini. Chondechonde, tuletee ushahidi was m/kiti kujihusisha na biashara ya madawa tuweze kumshugulikia ili heshima yetu irudi
 
Ka Jiji ka Dodoma katakuwa na foleni siku zi nyingi
 
Bila kupanua barabara ziwe 4 lane unajenga daraja kokobeach akili za jiwe bwana
 
Hili daraja lipingwe bungeni alafu walete wataaramu wa mikakati ya kupunguza foleni, daraja hili halifai kabisa kwani hata linapoanzia hapana mwelekeo mzuri kabisa, naona wapanue surrender iwe njia sita alafu waende mwananyamala manya waweke frly over
 
Mimi ambae nimekaa pande za Sinza, Mwenge na sasa Goba, ofisini kukiwa posta hili daraja ni la.muhimu sana. Nna experience ya 15yrs ya foleni mwenge to Posta na sasa Goba mbezi beach mwenge hadi posta, tunahitaji sana Hilo daraja wale wanaopitia mbezi chini kawe msasani posta litawasaidia sana maana kipande cha pale Barclays bank hadi msasani kitakuwa kinakatwa na daraja. Vigumu sana kujua umuhimu wake sasa lkn likiisha alternatives ways za kuingia na kutoka mjini zitakuwa nyingi. Mshaambiwa Mwendokasi phase 2 yaja mbagala, gomz n hata mwenge Tegeta thus tuunge mkono jitihada hizi ingawa mfukoni hatuna kitu, tufunge mkanda tushatanua sana huko nyuma
 
Sasa wale wakazi wa maeneo yale wakae mkao wa kupokea tinga tinga litalobomoa makazi yao. Haitawezekana lijengwe daraja kubwa/refu vile halafu tributaries zibaki pale pale.
Coco Beach linaenda kutua wapi? Aga Khan linaanzia wapi?

Gymkhana patapona hapo? Ule mnara wa kuongoza meli Oysterbay mwanzo wa Toure Drive utaachwa? Kuna ukanda wa nyumba za mabalozi kuanzia kwenye ule mnara mpaka Ali Hassan Mwinyi Road huku sijui kama watazikwepa.
 
Kwa macho ya kawaida unaweza kufikiri lengo la daraja hili ni kupunguza foleni ya Salender Bridge na kuwaondolea wananchi wa Dar kero ya foleni. La hasha daraja hili linalojengwa kwa gharama kubwa halitapunguza foleni kwa sababu watakaotumia daraja hili ni watu wachache sana, (under utilised bridge).

Ukiangalia kwa jicho la tatu, lengo hasa ni kuwasaidia viongozi, mabalozi na wazungu wachache wanaoishi maeneo ya Osterbay na Masaki ambao hawazidi hata 200, labda wasikae kwenye foleni kwa muda mrefu wakichanganyika na walalahoi wa maeneo ya Mwenge, Kawe, Kunduchi, Tegeta, Boko na Bunju.

USHAURI: Kama lengo ni kupunguza foleni ya Salender Bridge ingefaa zaidi lijengwe daraja kubwa la nchi kavu kutokea maeneo ya Hananasifu au Magomeni hadi Muhimbili au Fire kuvuka bonde la Jangwani linalojaa maji kipindi cha mvua.

Daraja hili la Hananasifu - Muhimbili/Fire, lingehudumia watu wengi hasa wafanyabiashara wa Kariakoo na katikati ya jiji, ambulance, zimamoto na wafanyakazi wa kada za chini ambao ndio walio wengi, tofauti na daraja la Aga Khan - Coco beach ambalo litahudumia 'sana sana' wakazi wa Masaki na pengine kubaki 'idle' kwa kipindi kirefu.

Daraja kubwa la Jangwani si tu lingepunguza adha ya foleni ya Magomeni-Kariakoo/Posta lakini pia lingesaidia kupunguza magari yanayopita Salender Bridge.

Anyways kupanga ni kuchagua, tumechagua daraja la Coco beach kwa wadosi tukawaacha wa Mbagala wahangaike na foleni yao.

Ni ushauri na mawazo huru ya MwanaJF mzoefu Quinine.
Mku hongera kwa taarifa lakini nadhani sio tu watu wa masaki kwamba ndo watafaidi bali pia nawengine wengi kwa mfano watu kutoka Tegeta, Mwenge maana wanapata taabu sana wanaweza pindia pale Namanga na kwenda kule barabara ya CCBRT ( Hosipitali ya macho) Msasani kutokezea Cocobeach watawahi sana kufika Town. Au wakifika tu pale njia ya Oysterbay wanakula kushoto kuitafuta Cocobeach. Kusema kweli wengi watafaidi mku si wanene tu kule Masaki hapana.
 
Naomba ufafanuzi hilo daraja kama liananzia coco beach linaishia wapi kama ni Aghakhan pale halina msaada sana otherwise weekend watu kwebda kupiga picha wapenzi wao.
Kupiga picha tu labda
 
Kwa macho ya kawaida unaweza kufikiri lengo la daraja hili ni kupunguza foleni ya Salender Bridge na kuwaondolea wananchi wa Dar kero ya foleni. La hasha daraja hili linalojengwa kwa gharama kubwa halitapunguza foleni kwa sababu watakaotumia daraja hili ni watu wachache sana, (under utilised bridge).

Ukiangalia kwa jicho la tatu, lengo hasa ni kuwasaidia viongozi, mabalozi na wazungu wachache wanaoishi maeneo ya Osterbay na Masaki ambao hawazidi hata 200, labda wasikae kwenye foleni kwa muda mrefu wakichanganyika na walalahoi wa maeneo ya Mwenge, Kawe, Kunduchi, Tegeta, Boko na Bunju.

USHAURI: Kama lengo ni kupunguza foleni ya Salender Bridge ingefaa zaidi lijengwe daraja kubwa la nchi kavu kutokea maeneo ya Hananasifu au Magomeni hadi Muhimbili au Fire kuvuka bonde la Jangwani linalojaa maji kipindi cha mvua.

Daraja hili la Hananasifu - Muhimbili/Fire, lingehudumia watu wengi hasa wafanyabiashara wa Kariakoo na katikati ya jiji, ambulance, zimamoto na wafanyakazi wa kada za chini ambao ndio walio wengi, tofauti na daraja la Aga Khan - Coco beach ambalo litahudumia 'sana sana' wakazi wa Masaki na pengine kubaki 'idle' kwa kipindi kirefu.

Daraja kubwa la Jangwani si tu lingepunguza adha ya foleni ya Magomeni-Kariakoo/Posta lakini pia lingesaidia kupunguza magari yanayopita Salender Bridge.

Anyways kupanga ni kuchagua, tumechagua daraja la Coco beach kwa wadosi tukawaacha wa Mbagala wahangaike na foleni yao.

Ni ushauri na mawazo huru ya MwanaJF mzoefu Quinine.
Da umeonekana we MTU.Nimekumiss kitambo.
 
Ni ushauri na mawazo huru ya MwanaJF mzoefu Quinine.[/QU

Mtoa mada unakosea sana! Serikali ya wanyonge haiwezi kufanya hicho kitu kuwapendelea wadosi wachache!
 
nyinyi simnasemaga " kuwa ",raisi wenu ametokomeza hiyo ", biashara" so imrkuwaje" tena leo unasema " kuwa kuna mtu anaifanya" mbay zaidi " unajua kuwa anaifanya" lakini umeshindwa " kutoa vithibitisho kwa mamlaka husika ili akamatwe"" ACHA ROHO MBAYA " UWONGO HAUFAI
Hicho ni kiashiria cha kukosa hoja aka siasa za maji taka!
 
Back
Top Bottom