Asiye na Chama
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 1,269
- 653
Kwanza nikuhakikishie serikali haikurupuki hata kidogo miladi mingi huifanyia tafiti kwanza na makosa kama yapo huanzia hapa watafiti wengi ni makanjanja hivyo hutoa matokeo yasiyo halisi na kwa kuwa ndizo tafiti pekee tulizo nazo serikali lazima izifanyie kazi.
Kingine hii miradi haizuii mingine kwamba mradi wa salanda utazuia wa jangwani hapana, wewe kama kilio chako ni jangwani sema tu tunahitaji dalaji jangwani pia? kwani kazi ya serikali ni ipi?
We kaka hojaNdio maana huoni umuhimu wa kukarabati ofisi yetu ya makao makuu pale ufipa. Sasa naanza kuelewa.
Naona hii hoja sio ya kiwango chako kaka! Huwezi kuchangia hoja hata siku moja? Naona ujaribu huu uzi wa kiwango chako, kuna watu wanakata viuno pia huko!Ndio maana huoni umuhimu wa kukarabati ofisi yetu ya makao makuu pale ufipa. Sasa naanza kuelewa.
Kheri James awasha moto Arusha