Sioni umuhimu wa daraja la Aga Khan - Coco beach kwa sasa

Ndio maana huoni umuhimu wa kukarabati ofisi yetu ya makao makuu pale ufipa. Sasa naanza kuelewa.
We kaka hoja
Ndio maana huoni umuhimu wa kukarabati ofisi yetu ya makao makuu pale ufipa. Sasa naanza kuelewa.
Naona hii hoja sio ya kiwango chako kaka! Huwezi kuchangia hoja hata siku moja? Naona ujaribu huu uzi wa kiwango chako, kuna watu wanakata viuno pia huko!

Kheri James awasha moto Arusha
 
Yaani kwa akili zako kiduchu unataka nipoteze muda wangu kuchangia utumbo. Kweli?
Nilishakuambia michango yako ni ya mipasho tu, huwezi kuchangia hoja inayohusu jambo la kufanya "analysis" hata kidogo, uzi wa saizi yako nimekupa endelea nao!
 
Ndio mana hata mimi huwa nasema flyover ya tazara ni kwa ajili ya viongozi na wazungu wanaoenda au kutoka Airport wasikae foleni haliko kwa ajili ya kupunguza foleni na kusaidia wananchi.
 
Hii nchi ukisikiliza kila maoni ya kila nyani hutafanya maendeleo yoyote
 
Tunakwenda kujenga Flyover baharini
Wakati wananchi hawana maji safi na salama ya kunywa!

Tunapenda mamiradi ya show kuliko mahitaji ya msingi ya watu! . Pathetic
Ushamba, ulimbukeni, ujinga, kukosa vision and mission ndiyo vinavyotuongoza
 
Miaka ya zamani huko vijijini ilikuwa kawaida sana kumwona kijana amevaa saa wakati miguuni yuko peku au kuwaona watoto wamevishwa mashati tu bila hata nguo ya kaptula, suruali au nguo ya ndani. Vijana na watoto kama hawa wakikua mara nyingi hawana priority.
 
Nilishakuambia michango yako ni ya mipasho tu, huwezi kuchangia hoja inayohusu jambo la kufanya "analysis" hata kidogo, uzi wa saizi yako nimekupa endelea nao!
Sasa wewe mipasho yako huioni; au kwa sababu unaweza kuandika vijimaneno vya kizungu ulivyokariri shuleni?
 
Sasa wewe mipasho yako huioni; au kwa sababu unaweza kuandika vijimaneno vya kizungu ulivyokariri shuleni?
Hebu changa kidogo kama wengine basi:
Sema nakubaliana na ujenzi wa daraja hili kwa sababu..a. b.c
Au napinga ujenzi wa daraja hili kwa sababu...a,b,c
Nitakufundisha taratibu tu usijali!
 
Hebu changa kidogo kama wengine basi:
Sema nakubaliana na ujenzi wa daraja hili kwa sababu..a. b.c
Au napinga ujenzi wa daraja hili kwa sababu...a,b,c
Nitakufundisha taratibu tu usijali!
Hebu acha upuuzi wako. Jifundishe mwenyewe, hapo nitakuelewa.
 
Watanzania tumezowea foleni, hili la kujengewa barabara za mbadala ni kupoteza hela tu.
 

Mkuu umesoma andiko linaloonesha mchango wa huu mradi kwenye kupunguza msogamano wa magari na idadi ya magari yatakayopita hapo kila siku?. Umeangalia taarifa ya hasara ya kila siku inayotokana na foleni Dar?

Ila naunga mkono hoja yako ya kushughulikia kiungo cha Jangwani/Magomeni. Mkakati uko si wa kujenga daraja tu bali kushughulikia mtiririko wa maji ya mafuriko kwa ujumla jijini dar. Makonda alishazungumzia hii project itaanza hivi karibuni. Kwa hiyo shida ya jangwani itatatuliwa si tu kwa daraja bali kutatua mkondo wa mafuriko kwa ujumla.

Ukifuatilia mkakati wa kuendeleza Dar hoja zote zinazozungumziwa hapa ziko kwenye mkakati. Hizi miradi unakuta ina wafadhili tofauti na vyanzo vya fedha tofauti. Sasa mradi ukianza mtu badala ya kuunga mkono utakuta apapinga, anakatisha tamaa, anatukana kwa kutumia hoja ya tatizo lingine ambalo nalo litashughulikiwa separately.

Wa TZ wakiona vitu nchi nyingine hata jirani wanakweza, kuviabudu na hata kwenda kutalii kupiga picha huko. Vitu hivyo hivyo vikianza kuletwa TZ watu wanapinga!

Hizi siasa mbaya sana.
 
Mkuu kipaumbele chetu kwa sasa ni kuwafanya mabalozi wasikae foleni kwa muda mrefu, daraja la jangwani linalotumiwa na walalahoi likifurika wao wanauwezo wa kusubiri hata wiki maji yapungue ndipo wapite hawana haraka kama mabalozi.
Mabalozi siwanahamia Dodoma!!
 

Upo sahihi kabisa,daraja hili halina impact kwa jamii kubwa,ni useless!Hata Mheshimiwa wakati anaongea alikosa kitu cha manufaa cha hili daraja akabidi aseme litaleta mandhari nzuri kwa jiji la Dar na kufanya watani zake(Wazaramo) wapate pakupigia picha na kufungia ndoa.

Hili daraja haliwezi kua kwenye top priority of facilities jamii inazozihitaji,any way niliambiwa wasukuma hawajui kuchagua ,kuanzia mke hadi vitu wao ni zoa zoa bora liende.Majanga zaidi ni hilo daraja la busisi -kigongo ferry la kilometa 3.sijui na hili raia watalipishwa kama kwenye daraja la mwalimu nyerere.
 
Daraja naona litapunguza foleni kwa kiasi chake.. kwa wakazi wa Kuanzia Bunju,tegeta,ununio,mbezi beach kuja hadi mwenge na mikocheni hadi masaki o'ybey wafanyao kazi mjini itawarahisishia sana kwenda mjini na kukwepa foleni ya kuingia town..

Na kwa takwimu za Macho tu [emoji2][emoji2][emoji2] watu wa upande ule ndo wanaogoza kwa kuwa na magari mengi acha sisi wa kwa mtogole tupambane na daladala zetu maana hata kununua Passo hatuwezi [emoji28][emoji28][emoji28].
 
Duh... wewe unaishi Dar kweli? Unasema hakuna foleni kiivyo. Halafu wewe unaona umuhimu wa daraja mpaka yangekua yanapita malori. Nahisi utakua unaishi kijijini mambo ya mjini huyaelewi umekurupuka ku comment usichokijua. Watanzania tunahitaji exposure sana ili tuondokane na ujinga wa fikra.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…