Sioni umuhimu wa kutafuta au kumiliki hela

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,558
Reaction score
64,966
Kwa sababu mahitaji yangu yote nayapata kutoka shambani na ufugaji, sasa hela ya nini?

Nikitaka kula nyama, naingia bandani nachinja kuku au naingia zizini nachinja mbuzi.

Nikitaka unga wa mahindi, nasaga mahindi niliyovuna nakula mwaka mzima.

Nikitaka mchele, nakoboa mpunga niliolima nakula mwaka mzima.

Nikitaka matunda, naingia bustanini navuna.

Sasa hela ina umuhimu gani kwangu, kama kila ninachohitaji ninapata kutoka mashambani, mabandani n.k?

Nilichogundua wale wanaotafuta hela sana, ni wavivu wakulima na kufuga.​
 
Hakik wengin hatun mashamb hayo yakulim
 
Zikose ndio utajua umuhimu wake

Ulishawahi kutumwa aifoni na demu wako na hajakupa hela?
FB_IMG_17631834668092496.jpg
 
Back
Top Bottom