Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
- Thread starter
- #41
Tupo huku tunakula mayai, nyama, tunakunywa maziwa, n.k maisha yanaendeleaWalimu toka Mshahara upigwe kalenda mmeanza kupagawa na kujifanya hamzitaki hela
Tupo huku tunakula mayai, nyama, tunakunywa maziwa, n.k maisha yanaendeleaWalimu toka Mshahara upigwe kalenda mmeanza kupagawa na kujifanya hamzitaki hela
Ukija huku shambani, nguvu zako tu ndio zitakupa mazaoKuna ule msemo "kupanga ni kuchagua", ni wewe unayechagua maisha yako uyaendeshe vipi, wako wengine wanapanga kwenda vaccay, recreational centres ambalo huko zitahitajika pesa nyingi kidogo.. lakini kwako umechagua uliyochagua; uko sahihi sana. Ungekuwa sahihi zaidi kama ungetuambia kiasi gani cha pesa unachokizungumzia wewe. Ukisema tu hauoni haja ya kutafuta pesa kwasababu kila kitu unakipata shambani na bistani kwako wako watakaokuuliza Hilo shamba haujatumia pesa kulihudumia? Huko mashineni hautoi hela? Na kadhalika.. you'd clarify how much money exactly are you talking about.
nani kakuambia walioko mjini wanapoteza muda, life system lazima i balance hatuwezi wote kuwa wakulima na hatuwezi wote kuwa wafugaji na vinginevyo, tuna safari ndefu kwa maana huwezi kujustify kwa mtazamo wa upande mmojaKaribu sana katika upambanaji.
Kulima na kufuga kuna faida sana, kuliko kupoteza muda mwingi huko mjini kutafuta hela; kumbuka hela sio chakula.
Sihitaji hela kabisa, ata nikiona kibunda chini siokoti, kwa sababu sina kazi ya kuzifanyia.Asee
Aya twende shambani tukang'oe visikiumemaliza
Nia ikiwepo itapatikanaKwa nyama lazima uipike,unachinja unabanika,au viungo kama nyanaya na vitunguu ,unalima.mchawi chumvi tu apo
Asili huponya,ukiunwa tumia miti shamba apo,dawa zipo nyingi,kwenye muarubaini ,milonge n.kNa ukiumwa unaingia bandani au Shamba unachoma Sindano na ukitaka sukari unaingia bandan unachota bado pesa ina umuhimu mkubwa sana hayo mambo ulioyaongea ni selusi ndogo kwenye maisha
Natumia betri za equatioblety ninazotengeneza mimi mwenyewe, zinakamata mtandao muda woteBundle la internet na simu janja uliyotumia kuandika na kutuma huku jf umelitoa tu hapo shambani cyo!
Ni mkoa gani?Ukija huku shambani, nguvu zako tu ndio zitakupa mazao
😂Na ukiumwa unaingia bandani au Shamba unachoma Sindano na ukitaka sukari unaingia bandan unachota bado pesa ina umuhimu mkubwa sana hayo mambo ulioyaongea ni selusi ndogo kwenye maisha
nyie walimu walimu na mishahara yenu msipotoshe watu, ili uende kulima lazima uwe imara kiuchumi yani pesa, issue sio kungoa visiki na kusafisha mapori.Aya twende shambani tukang'oe visiki
Kukaa kwenu huko mjini, unategemea nani akulimie mahindi? Unga ukipanda bei mnaanza kulalamikanani kakuambia walioko mjini wanapoteza muda, life system lazima i balance hatuwezi wote kuwa wakulima na hatuwezi wote kuwa wafugaji na vinginevyo, tuna safari ndefu kwa maana huwezi kujustify kwa mtazamo wa upande mmoja
Tunatumia magome ya miti na mizizi, na wengi tulioko huku tuna miaka zaidi ya 80.Na ukiumwa unaingia bandani au Shamba unachoma Sindano na ukitaka sukari unaingia bandan unachota bado pesa ina umuhimu mkubwa sana hayo mambo ulioyaongea ni selusi ndogo kwenye maisha
Hamna jambo kama hilo pesa bado ina umuhimu sana hayo mambo unayoyawaza hayana tijaAsili huponya,ukiunwa tumia miti shamba apo,dawa zipo nyingi,kwenye muarubaini ,milonge n.k
Mikoa yote yenye maporiNi mkoa gani?
Binadamu wa kale aliishije?nyie walimu walimu na mishahara yenu msipotoshe watu, ili uende kulima lazima uwe imara kiuchumi yani pesa, issue sio kungoa visiki na kusafisha mapori.
sasa umezidisha wanzuki hebu pumzika kidogoSihitaji hela kabisa, ata nikiona kibunda chini siokoti, kwa sababu sina kazi ya kuzifanyia.
Hiyo mikono sio pambo la mwili, inatakiwa ifanye kazi za shamba.sasa umezidisha wanzuki hebu pumzika kidogo
kila mtu ashinde mechi zake, we naona sahiz gongo ishaanza kuchanganya hapo kilabuniHiyo mikono sio pambo la mwili, inatakiwa ifanye kazi za shamba.