Sioni umuhimu wa kutafuta au kumiliki hela

Kwa sababu mahitaji yangu yote nayapata kutoka shambani na ufugaji, sasa hela ya nini?

Nikitaka kula nyama, naingia bandani nachinja kuku au naingia zizini nachinja mbuzi.

Nikitaka unga wa mahindi, nasaga mahindi niliyovuna nakula mwaka mzima.

Nikitaka mchele, nakoboa mpunga niliolima nakula mwaka mzima.

Nikitaka matunda, naingia bustanini navuna.

Sasa hela ina umuhimu gani kwangu, kama kila ninachohitaji ninapata kutoka mashambani, mabandani n.k?

Nilichogundua wale wanaotafuta hela sana, ni wavivu wakulima na kufuga.​
Ukitaka kusafiri unafanyaje mkuu? Kule Hospitalini huendagi broo?
Nguo yako ikichakaa unaendelea nayo ivo-ivo au
Unalima chumvi na sabuni?
 
Kwa sababu mahitaji yangu yote nayapata kutoka shambani na ufugaji, sasa hela ya nini?

Nikitaka kula nyama, naingia bandani nachinja kuku au naingia zizini nachinja mbuzi.

Nikitaka unga wa mahindi, nasaga mahindi niliyovuna nakula mwaka mzima.

Nikitaka mchele, nakoboa mpunga niliolima nakula mwaka mzima.

Nikitaka matunda, naingia bustanini navuna.

Sasa hela ina umuhimu gani kwangu, kama kila ninachohitaji ninapata kutoka mashambani, mabandani n.k?

Nilichogundua wale wanaotafuta hela sana, ni wavivu wakulima na kufuga.​
Ukiugua unajitibuje ndugu?
 
Back
Top Bottom