Iyerdoy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 4,090
- 5,248
Waw! Hata vocha na vifurushi ni mwendo wa barter system??Kuhusu tiba tunatumia magome ya miti na mizizi, mavazi tunatumia barter trade.
Waw! Hata vocha na vifurushi ni mwendo wa barter system??Kuhusu tiba tunatumia magome ya miti na mizizi, mavazi tunatumia barter trade.
Hapo ulipo, una bustani ata ya mchicha kweli?Uzuri wa JF, mtu anajiandikia mada ambayo yeye mwenyewe akiusoma anaona kabisa hapa nimeandika mavi.
Natumia betri za equatioblety ninazotengeneza mimi mwenyewe, zinakamata mtandao muda woteWaw! Hata vocha na vifurushi ni mwendo wa barter system??
Hiyo betri uliitengeneza mwenyewe bro?Natumia betri za equatioblety ninazotengeneza mimi mwenyewe, zinakamata mtandao muda wote
Sina, nakaa kwa shemejiHapo ulipo, una bustani ata ya mchicha kweli?
Ndio, vipi nikuuzie?Hiyo betri uliitengeneza mwenyewe bro?
Unataka nani akulimie?Sina, nakaa kwa shemeji
Daah😂😂😂Hela ya bundle huwa unatoa wapi? Au unawasha data kwa kutumia kuni?
Mm nina hela; sasa wewe si hauihitaji hela?. Tunafanyaje hapo??Ndio, vipi nikuuzie?
Mm nina hela; sasa wewe si hauihitaji hela?. Tunafanyaje hapo??
Hahahaa! Shyee; Huku Umasaini mpunga wapi na wapi?Sihitaji hela, hela ni utapeli; huku tunabadilisha kitu kwa kitu, huna kitu, kufa njaa na hela zako, leta magunia 70 ya mpunga tu
Huku magome ya miti na mizizi inatusaidia sana, kuhusu mahitaji mengine, tunabadilishana kitu kwa kitu, na si kitu kwa hela.Vp mkuu hapo shamba umepanda na madawa ya UTI sugu na una kiwanda hapohapo kwajili ya kufabricate vijora vya mamsapu?
Vp kuhusu kifurushi cha MBs za kuperuzi JF?
Najua ukitaka kusafiri unatumia ungo ambao mechanism ya kuunda, raw materials unazo hapo shamba kwako.
Mahindi, mifugo, asali, mizizi, magome ya mitiHuku Umasaini mpunga wapi na wapi?
Mbona NI kama vitu hivyo unavyo tayari? Au una roho ya kukusanya?Mahindi, mifugo, asali, mizizi, magome ya miti
Maisha sio kula na kunya tuKwa sababu mahitaji yangu yote nayapata kutoka shambani na ufugaji, sasa hela ya nini?
Nikitaka kula nyama, naingia bandani nachinja kuku au naingia zizini nachinja mbuzi.
Nikitaka unga wa mahindi, nasaga mahindi niliyovuna nakula mwaka mzima.
Nikitaka mchele, nakoboa mpunga niliolima nakula mwaka mzima.
Nikitaka matunda, naingia bustanini navuna.
Sasa hela ina umuhimu gani kwangu, kama kila ninachohitaji ninapata kutoka mashambani, mabandani n.k?
Nilichogundua wale wanaotafuta hela sana, ni wavivu wakulima na kufuga.
Hv hayo mazao unayovuna, mbegu zilidondoka kutoka mbinguni au zilisafirishwa?Unataka nani akulimie?
Ebu acha kula siku tatu tu, tuone idadi ya mifupa ya mwili wako.Maisha sio kula na kunya tu
Zinjanthropus alitoa wapi mbegu?Hv hayo mazao unayovuna, mbegu zilidondoka kutoka mbinguni au zilisafirishwa?
Umeelewa nilichokuuliza?Zinjanthropus alitoa wapi mbegu?