Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Hakik wengin hatun mashamb hayo yakulimKwa sababu mahitaji yangu yote nayapata kutoka shambani na ufugaji, sasa hela ya nini?
Nikitaka kula nyama, naingia bandani nachinja kuku au naingia zizini nachinja mbuzi.
Nikitaka unga wa mahindi, nasaga mahindi niliyovuna nakula mwaka mzima.
Nikitaka mchele, nakoboa mpunga niliolima nakula mwaka mzima.
Nikitaka matunda, naingia bustanini navuna.
Sasa hela ina umuhimu gani kwangu, kama kila ninachohitaji ninapata kutoka mashambani, mabandani n.k?
Nilichogundua wale wanaotafuta hela sana, ni wavivu wakulima na kufuga.
Kuna mapori mengi huku yanazidi idadi ya watu, njoo ulime; uanze kwa kung'oa visiki kwanza.Hakik wengin hatun mashamb hayo yakulim
Ya kwenda wapi?Daah, tuna safari ndefu
Wap hko mkuu🙌Kuna mapori mengi huku yanazidi idadi ya watu, njoo ulime; uanze kwa kung'oa visiki kwanza.
Ukiamua kwa usahihi, changamoto za kimaisha hazitakutesa.Ni sawa tu. Maisha yako ni vile unavyoamua ww mwenyewe uishije
Mikoa yote ina mapori ya kutosha, wewe unataka wapi?Wap hko mkuu🙌
Wanaotegemea hela igeuke kuwa unga utawajua tuHayo mahindi unayasaga kwa meno yako au? Au hivyo viungo vya nyama ya kuku vinaota?
Mm siyo mtembez sana ila kokote kambi kam eneo lipoMikoa yote ina mapori ya kutosha, wewe unataka wapi?
Itasaidia pia kupunguza changamoto za figo n.kKwa wanywaji tunaweza pia kutengeneza pombe yetu ya asili kwa fermentation..idea nzuri ila utapunguza mahitaji ya hela na sio kutohitaji kabisa...mafuta,chumvi,nishati,mavazi,
Huyo demu inabidi umpeleke shambani akang'oe visikiZikose ndio utajua umuhimu wakeView attachment 3615045
UtamkosaHuyo demu inabidi umpeleke shambani akang'oe visiki
Panda basi utaona mapori mengi huko njianiMm siyo mtembez sana ila kokote kambi kam eneo lipo
Kama hana msaada wowote unapiga chiniUtamkosa