Sioni umuhimu wa kutafuta au kumiliki hela

Sasa wale wa mkopo wa simu nao mnabadilishana na nini make hiyo simu uliyoingia nayo hapa niya mkopo!
 
Mtoa mada upo sahihi kabisa matamanio, mitazamo na fikra zetu ndio zinafanya tuhangaike kutafuta hela.
Kama mtu ataamua kubadili mtazamo na kuacha matamanio unaweza ishi kwa kutegemea pesa kwa kiasi kidogo sana,hasa wenye mavazi-unaweza uza mazao yako kidogo au mfugo ukapata mavazi.
 
Hiyo nyama haitaji viungo, nyanya vitunguu, limao, huo hmahindi hayaitqji pesa ya mashine kusagia.

Bills utalipia nini? Umeme maji utasema solar ikiharibika. Vocha, gesi, mkaa, kuni utapata wapi?

Ukiumwa utajitibia na nini?

Money is medium exchange.
 
Kumiliki kihalali sawa ila sio kishetani kwani utaumiza wengi.
 
Hela ya bundle huwa unatoa wapi? Au unawasha data kwa kutumia vitunguu?
 
Kinachokufanya uhitaji fedha ni kwasababu unataka huduma za wengine, suluhisho ni zile huduma za wengine kuzifanya wewe au kuzizalisha wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…