Sioni 'utupu' wa Gigy Money, mamlaka zimehuhukumu kwa mihemko na kukurupuka

Ni kawaida kuona mwanaume kavua shati kaweka begani na anaendelea na Mishe/safari zake

Lakini kwa mwanamke ni ngumu kidogo

Nirudi kwenye maada,mtoa post anasema Gigy alivaa vazi linalofunika mwili mzima.swali,,,

Ni kwanini kabuni vazi lenye rangi Kama mwili wa binadamu?

NB:napendekeza wasafi ingefungiwa at least two weeks up to one month.na faini ya pesa taslimu

Lakini pia BASATA wangedili na Gigy

Linapokuja suala la ubunifu, huwezi kuuliza swali la kwanini alibuni vazi la kipekee namna hiyo... lengo ni kuvutia hadhira na kuacha simulizi.

Pendekezo lako ni la busara sana mkuu, sioni namna gani TV wangeweza kutafsiri na kudhibiti tukio hilo... kwa macho ya wengi tunaona ni la kawaida kabisa.
 
Ukiwa na jicho la kiume ukiangalia pale utaona hadi ndani[emoji23][emoji23]

Hakuna kitu hapo Mzee, ni mchoro tu kwa ustadi mkubwa... kwa haraka haraka ndiyo maana hata TCRA walipigwa tobo at first sight!

Baada ya kuitazama mara mbili nafikiri hata wao sasa wanajicheka sana.[emoji16][emoji16]
 
Jicho la kiume + giggy dancing posture = nudity
 
Ni kawaida kuona mwanaume kavua shati kaweka begani na anaendelea na Mishe/safari zake

Lakini kwa mwanamke ni ngumu kidogo

Nirudi kwenye maada,mtoa post anasema Gigy alivaa vazi linalofunika mwili mzima.swali,,,

Ni kwanini kabuni vazi lenye rangi Kama mwili wa binadamu?

NB:napendekeza wasafi ingefungiwa at least two weeks up to one month.na faini ya pesa taslimu

Lakini pia BASATA wangedili na Gigy
Kwa kitu unachokiongea weww hilo kosa ni LA msanii na sio media maana media hawampangii msanii avaaje au afanye nini

Adamu alivyomtia mitama mbasha ilitakiwa clouds nzima wamuombe msamaha mbasha au ccm wote wawajibike kwa lile tukio .
Nonsense
 
Kabisa mkuu, eti media inapaswa hadi kusimamia "dancing posture" za wanenguaji... tena kwenye LIVE event!!!
 
Back
Top Bottom