Sioni 'utupu' wa Gigy Money, mamlaka zimehuhukumu kwa mihemko na kukurupuka

Sioni 'utupu' wa Gigy Money, mamlaka zimehuhukumu kwa mihemko na kukurupuka

Hata uchezaji wake haikuwa na staha hata kidogo!

Wacha wajifunze !
Kwa hili acha wawafungie wamezidi.Wanawake siku hizi Ni Kama ndo wametambua kwamba K na makalio ni sawa na dhahabu.Kila jambo wanaonesha hivyo vitu kama vile akivihifadhi vitapotea.Mitano Tena.
 
Hatamimi kwa Mara yakwanza nilivyoona kwenye TV nilimuhukumu Gigy.Lakini nakiri hakukuwa na ubaya kwenye hili vazi lake,
Naamini Mamlaka husika itafikiria upya mana naamini nawao walikurupuka kama Mimi siku yakwanza nilipoona ile video.
 
Hakuna kitu hapo Mzee, ni mchoro tu kwa ustadi mkubwa... kwa haraka haraka ndiyo maana hata TCRA walipigwa tobo at first sight!

Baada ya kuitazama mara mbili nafikiri hata wao sasa wanajicheka sana.[emoji16][emoji16]
Ni kwamba waliona kama vile kavaa nguo transparent vuzi linaonekana ,[emoji3][emoji3]
 
Hawa watu kurupu sana, vuzi la kuchora limewatoa ufahamu... hovyo kabisa yaani![emoji3][emoji3][emoji3]
Mfano angekuwa kavaa Nicky Minaj na show ikarushwa live kwenye vyombo vyetu hakuna ambae angelalamika.
Yaani wanakataza watanzania kuonyesha utupu wao na hapo hapo wanaruhusu tuone utupu wa wasanii wa nje ya nchi. Sijawahi elewa maadili ya mtanzania. Upumbavu mtupu, wangebana kote kote kama kweli wapo serious.
 
Hatamimi kwa Mara yakwanza nilivyoona kwenye TV nilimuhukumu Gigy.Lakini nakiri hakukuwa na ubaya kwenye hili vazi lake,
Naamini Mamlaka husika itafikiria upya mana naamini nawao walikurupuka kama Mimi siku yakwanza nilipoona ile video.

Ni kweli kabisa, at first sight utadhani kitu ni yenyewe kumbe waaapi... naamini hata wao wanajicheka sana huko walipo.[emoji3][emoji3]
 
Hiyo ni nguo bwashee, vyote hivyo ulivyotaja ni michoro tu... msambwanda YES lakini upo nguoni hakuna utupu hapo.

Itazame picha kwa makini.[emoji3][emoji3]

Nimekiona kinachoonekana. Huwezi kuona chupi usemw

umeona bikini
 
Kwani harmonize anavyotuonyesha likifua lake limetuna anakuwa na nia gani? Unaelewa tunapata shida kiasi gani?
Vazi la giggy ni matata sana alipendeza.
Pelekeni malalamiko panapohusika ,huwezi kuwa na kosa halafu ukajitetea kwamba mbona Harmonize naye alifanya kosa Kama hili,huo siyo utetezi mbele ya sheria.
 
Kwani harmonize anavyotuonyesha likifua lake limetuna anakuwa na nia gani? Unaelewa tunapata shida kiasi gani?
Vazi la giggy ni matata sana alipendeza.
Ukiwa na kosa huwezi leta utetezi wa mbona fulan naye alifanya hivi! Unapigwa adhabu tu,Kama una ushahidi wa Harmonize peleka kwenye mamlaka husika wadeal naye.
 
Nimekiona kinachoonekana. Huwezi kuona chupi usemw

umeona bikini

Macho yako yanaona kama yangu?
IMG_9275.jpg

Tuoneshe hiyo unayoita chupi hapo![emoji1489]
 
Pelekeni malalamiko panapohusika ,huwezi kuwa na kosa halafu ukajitetea kwamba mbona Harmonize naye alifanya kosa Kama hili,huo siyo utetezi mbele ya sheria.
Ni double standard hiyo. Watapita hapa wataona malalamiko. Mambo mengi sana kwenye TV hayana maadili. Juzi kati hapa naangalia movie sijui ni Azam one au two sikumbuki vizuri. Jamaa mashoga wanakulana denda muda mrefu kama 30s hivi wameonyesha bila kukata hicho kipande.
Nyimbo nyingi za Diamond platnumz ni matusi tena yale ya kitandani kabisa na watoto wanavyoziimba sasa dah!
Binafsi sioni tatizo lolote mtu akae uchi kwa tv aimbe matusi wala sijali. Kinachonishangaza ni jinsi tunavyojifanya kusimamia maadili wakati hakuna lolote.
 
Ni kweli kuna uzembe na double standard kwa makusudi ama bahati mbaya lakini pale ambapo mtu amejikwaa akiadhibiwa tuangalie vitu vitatu,kabla ya kutetea.Moja,je Kuna kosa limetendeka? Pili,je aliyetenda alidhamiria?Na aliyepewa adhabu ndo aliyetenda kosa? .Pamoja na hayo pia kwani nia njema tuendelee kuwaambia wahusika kwamba Kuna mengine mnayaacha ili watende haki kwa kila yule.
 
Back
Top Bottom