balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Yaan hapa useme hakuna kosa! Nakataa,kwa hapa nawaunga mkono wenye mamlaka.Macho yako yanaona kama yangu?
View attachment 1669841
Tuoneshe hiyo unayoita chupi hapo![emoji1489]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan hapa useme hakuna kosa! Nakataa,kwa hapa nawaunga mkono wenye mamlaka.Macho yako yanaona kama yangu?
View attachment 1669841
Tuoneshe hiyo unayoita chupi hapo![emoji1489]
Akina Harmonize huwa hawachori ubooh wala pumbuu na kuzinesha zaidi ya kuweka jiwe pale mbele kwenye surali,hii ya Mzee Stanford ni balaaKwani harmonize anavyotuonyesha likifua lake limetuna anakuwa na nia gani? Unaelewa tunapata shida kiasi gani?
Vazi la giggy ni matata sana alipendeza.
Kifua kifua..kimeumbika kinatusisimua..tukimuona tunasisimkwa!Akina Harmonize huwa hawachori ubooh wala pumbuu na kuzinesha zaidi ya kuweka jiwe pale mbele kwenye surali,hii ya Mzee Stanford ni balaa
Sijakuelewa na nadhani wengine hawataelewa umemaanisha nini hapa?!Musculine society it is!
Hivi unadhani wakisema wanawake watembee uchi kuna mwanaume atapinga,na unadhani anaekasirishwa na matukio ya wanawake kuwa watupu ni mwanaume?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamii inayotukuza wanaume na kuwadhibiti wanawake!
Ndyo hater kwan vipi, na wamefungiwaaaah miez 6.WCB imeingiaje hapo, haters wannabe!
Ndo wamefungiwa sasa, wee baki na mahaba yako. PoleeeehChuki binafsi!
Hata sisi machuchu ,paja na mabega mnatuachia wazi tunavumilia ila hii ya kuchora K na zivu live Ni nooomaKifua kifua..kimeumbika kinatusisimua..tukimuona tunasisimkwa!
[emoji3][emoji3]. Tuseme tu ukweli ila mwafrika akiongelea uchi basi ujue ni wa mwanamke. Kuna show moja diamond kashusha suruali katuonyesha matako na boxer , na afande sele alishafanya hivyo. Nikumbushe kama kuna adhabu walipewaHata sisi machuchu ,paja na mabega mnatuachia wazi tunavumilia ila hii ya kuchora K na zivu live Ni noooma
Macho yako yanaona kama yangu?
View attachment 1669841
Tuoneshe hiyo unayoita chupi hapo![emoji1489]
Hiz nguo zinauzwaga wap
Mi nikajua nitaiona papuchi kumbe hamna kitu
Yaan hapa useme hakuna kosa! Nakataa,kwa hapa nawaunga mkono wenye mamlaka.
Nimekuambia ninaona kinachoonekana.
Nikatoa mfano, huwezi kuona chupi ukasema umeona bikini.
Hapo nimeona k na matiti.
Iweje wewe uone nguo?
Kwanini huoni kinachoonekana?
duh utupu ni nini hasa maana mie mgeni hapa
Kama hujaelewa ujue imekuzidi! Ipotezee. Sio mtihani huu kusema ukielewa ndio umefaulu maisha!Sijakuelewa na nadhani wengine hawataelewa umemaanisha nini hapa?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama unajua vitu unavyoandika vinazidi uwezo wa unaowaandikia then why the hell would u bother kutuandikia ile hali ni wazi wajua tukisoma hatutaelewa....?!Kama hujaelewa ujue imekuzidi! Ipotezee. Sio mtihani huu kusema ukielewa ndio umefaulu maisha!