balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Mkuu hilo swali kawaulize walichukua hatua.Sina haja wala muda wa kudadavu,kila mtu abaki na anachoamini.Onesha kosa hapo bila chuki, dadavua unaona wapi utupu hapo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hilo swali kawaulize walichukua hatua.Sina haja wala muda wa kudadavu,kila mtu abaki na anachoamini.Onesha kosa hapo bila chuki, dadavua unaona wapi utupu hapo?
Sasa papuchi ya kuchora ndo iwe utupu, mbona kwenye vitabu zipo kibao tu na tunasomeshwa darasani?
Uchezaji uwe na staha jukwaani?Hata uchezaji wake haikuwa na staha hata kidogo!
Wacha wajifunze !
huo ni urembo tu upo kifuani kiunoni na hadi miguuni au wewe umeona hapo tuHamna kitu watu ni wivu tu, sema naye alichora 'zivu' msitu sana!
U started the war on JF and u want me to fight it where again ma'am?!Keyboard hero. Insane!
Tukaitafute wapi!!!??? Weka link hapa.
huo ni urembo tu upo kifuani kiunoni na hadi miguuni au wewe umeona hapo tu
View attachment 1669934
U started the war on JF and u want me to fight it where again ma'am?!
Sent using Jamii Forums mobile app
U started the war on JF and u want me to fight it where again ma'am?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hilo swali kawaulize walichukua hatua.Sina haja wala muda wa kudadavu,kila mtu abaki na anachoamini.
Sasa kama unajua vitu unavyoandika vinazidi uwezo wa unaowaandikia then why the hell would u bother kutuandikia ile hali ni wazi wajua tukisoma hatutaelewa....?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kifua cha mwanaume siyo utupu. Kifua wazi cha mwanamke ndiyo utupu mwambie mkeo au dadako atembee kifua wazi barabarani tuoneBtw
Kibongo bongo mwanamke akionesha eneo la magoti kuja juu mpaka kwenye kitovu inahesabika ameonesha utupu.
Mahali pengine panaposemwa ni kuonesha utupu ni eneo lote la manyonyo na mabega.
Ninachoshangaa inakuwaje TCRA hawajaufungia wimbo wa Diamond wa Waah maana wanenguaji wanaume wameonesha vifua wazi.
👏🏽👏🏽👏🏽Kifua cha mwanaume siyo utupu. Kifua wazi cha mwanamke ndiyo utupu mwambie mkeo au dadako atembee kifua wazi barabarani tuone
Picha haina maadili kabisa ya Kitanzania. Papucha nyonyo vyote vinaonekana.
Kama ukiweza kumwonyesha mama yako hiyo picha na akisema sawa basi Gigy anaonewa. kwahiyo tusipotezeane muda kamwonyeshe mother then uje utuambie anasemaje
Huoni!!! Mtu akipenda chongo huita kengeza, miye naona hapo njia za haja ndogo na kubwa na matiti na makalio