Sioni 'utupu' wa Gigy Money, mamlaka zimehuhukumu kwa mihemko na kukurupuka

Sioni 'utupu' wa Gigy Money, mamlaka zimehuhukumu kwa mihemko na kukurupuka

Huoni!!! Mtu akipenda chongo huita kengeza, miye naona hapo njia za haja ndogo na kubwa na matiti na makalio

Hakuna matiti hapo, ni nakshi za urembo kwenye nguo... siwalaumu waliotoa hukumu.

Walipitiwa hawakuona vizuri, uungwana ni pamoja na kukiri unapokosea.
 
mimi ambacho kimeniuma ni adhabu hii ni kubwa sana.

ingekuwa mwezi afdhali.
 
kiukweli nimezoom hiyo picha hadi mwisho nikaconclude kua TCRA ni wajinga flani wasiojielewa na kuelewa maana ya sanaa ya muziki.
 
Eti wakati wowote ule, sijui hadi chumbani... kwahiyo baba’ko ndo kipimo cha maadili?
Jee Baba yako anaingia kwenye chumba cha dada yako??? Wacha kutukanisha wazazi. Kama unaweza mruhusu mkeo avae hivyo halafu mwende night club.
 
Jee Baba yako anaingia kwenye chumba cha dada yako??? Wacha kutukanisha wazazi. Kama unaweza mruhusu mkeo avae hivyo halafu mwende night club.
Chumba cha dada kina nini cha ajabu hadi baba asiingie. Ikibidi aingie ataingia kwa utaratibu
 
Back
Top Bottom