Sioni 'utupu' wa Gigy Money, mamlaka zimehuhukumu kwa mihemko na kukurupuka

Kifua cha mwanaume siyo utupu. Kifua wazi cha mwanamke ndiyo utupu mwambie mkeo au dadako atembee kifua wazi barabarani tuone
 
Picha haina maadili kabisa ya Kitanzania. Papucha nyonyo vyote vinaonekana.
Kama ukiweza kumwonyesha mama yako hiyo picha na akisema sawa basi Gigy anaonewa. kwahiyo tusipotezeane muda kamwonyeshe mother then uje utuambie anasemaje

Ulipomwonesha maza’ako alisemaje, tuanzie hapo.

Ni mzaha si mzaha!!
 
Picha haina maadili kabisa ya Kitanzania. Papucha nyonyo vyote vinaonekana.
Kama ukiweza kumwonyesha mama yako hiyo picha na akisema sawa basi Gigy anaonewa. kwahiyo tusipotezeane muda kamwonyeshe mother then uje utuambie anasemaje

Kwani mother ako ndo kizio cha maadili? Hebu ficha huu ujinga wako huenda utakufaa mbeleni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…