GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #61
Aliyeniumba nacho ndiyo hakukupa Wewe. Aliyekudanganya kuwa sikujui au sijakujua ni nani? Mimi Masikini je, Wewe huo Utajiri ulikuwa nao lini?Wewe umesomea soka wapi mpaka ulete uhayawani kujifanya unajua kumbe una kigugumizi maskini ππ
Tena nakurahisishia Kazi kwakuwa unataka Sifa Kuwaaminisha Members wa JamiiForums kuwa unanijua sana huenda kwakuwa nilikuwa nakukaza Nsumba nimekuruhusu weka hadi Picha yangu na Majina yangu yote yataje haoa sawa?
Nimekuruhusu Pumbavu Wewe. Kukunyamazia kila unichokozapo unajiona Mshindi au unaniweza? Nipo katika hilo WhatsApp Group lenu na nina Taarifa zako za Kutosha tu pamoja na Kashfa yako Moja. Endelea Kujidanganya.
Hivi kuwa na Kigugumizi ( Stammerer / Speech Impaired ) Kwako ni Jambo la Kukushangaza na Kuliimba kila mara?
Hivi katika Biblia Moses ( Musa ) hakuwa nacho? Mwenyezi Mungu hakumtumia katika Kuwakomboa Wayahudi pamoja na kwamba Kaka yake Aron alikuwa hana hicho Kigugumizi? JamiiForums Co Founder Mike Mushi hana? Rais Museveni wa Uganda na aliyekuwa Rais wa Congo DR hawakuwa nacho? Je, kiliwazuia Wao kufanya Kazi zao kwa Ufanisi.
Kila uingiapo hapa JamiiForums ukiona tu nimeanzisha Uzi ( Mada ) unaacha Kuichangia na unachokijua ni Kunishambulia, kuonyesha kuwa unanijua sana na kungangania tu kuwa Nina Kigugumizi utadhani Mwanadamu kuwa nacho ni Kosa la Jinai.
Mbona hautangazi kuwa nimekuzidi IQ?