Sioni uzuri huo wa 'Sure Boy' ambao Wachambuzi wa Michezo leo mnamsifia nao. Wilson Oruma acha Unafiki na Kuichukia mno Simba SC

Wewe umesomea soka wapi mpaka ulete uhayawani kujifanya unajua kumbe una kigugumizi maskini 😀😀
Aliyeniumba nacho ndiyo hakukupa Wewe. Aliyekudanganya kuwa sikujui au sijakujua ni nani? Mimi Masikini je, Wewe huo Utajiri ulikuwa nao lini?

Tena nakurahisishia Kazi kwakuwa unataka Sifa Kuwaaminisha Members wa JamiiForums kuwa unanijua sana huenda kwakuwa nilikuwa nakukaza Nsumba nimekuruhusu weka hadi Picha yangu na Majina yangu yote yataje haoa sawa?

Nimekuruhusu Pumbavu Wewe. Kukunyamazia kila unichokozapo unajiona Mshindi au unaniweza? Nipo katika hilo WhatsApp Group lenu na nina Taarifa zako za Kutosha tu pamoja na Kashfa yako Moja. Endelea Kujidanganya.

Hivi kuwa na Kigugumizi ( Stammerer / Speech Impaired ) Kwako ni Jambo la Kukushangaza na Kuliimba kila mara?

Hivi katika Biblia Moses ( Musa ) hakuwa nacho? Mwenyezi Mungu hakumtumia katika Kuwakomboa Wayahudi pamoja na kwamba Kaka yake Aron alikuwa hana hicho Kigugumizi? JamiiForums Co Founder Mike Mushi hana? Rais Museveni wa Uganda na aliyekuwa Rais wa Congo DR hawakuwa nacho? Je, kiliwazuia Wao kufanya Kazi zao kwa Ufanisi.

Kila uingiapo hapa JamiiForums ukiona tu nimeanzisha Uzi ( Mada ) unaacha Kuichangia na unachokijua ni Kunishambulia, kuonyesha kuwa unanijua sana na kungangania tu kuwa Nina Kigugumizi utadhani Mwanadamu kuwa nacho ni Kosa la Jinai.

Mbona hautangazi kuwa nimekuzidi IQ?
 
Sio kila mtanzania anashabikia Simba au yanga ongoa izo primitive mentality kichwani mwako
Masikini wa Akili na Kipato kama Wewe wala huwa hamnisumbui. Utabadili sana ID ili Kunishambulia pamoja na partner wako katika Upumbavu Its Pancho mkidhani mnaniweza au mtanififisha Umaarufu wangu hapa JamiiForums wakati kumbe mnavyohangaika nami Kutwa hapa ndiyo automatically mnanifanya nijulikane, nikubalike zaidi na kila Siku tu idadi ya Followers wangu inaongezeka.
 
We mamaj mbona hutulii
Mkuu mbona kama vile unakaribia kupiga Ikulu? Japo Yeye ni Mwanaume ila ana Kashfa yake moja hivi nimepenyezewa isiyo mbali na huu ( huo ) Umama ulioutaja hapa.

Tunaomjua vyema tunavyompotezea anaona kama vile tunamuogopa wakati tunamsanifu na Kumdharau sana tu.

Cc: Its Pancho
 
Nashangaa sana mtu anaposema kuwa kanoute aliweza kuwapoteza Bangala na Aucho. Ni wazi anaongea kimahaba na sio kitimu. Hao ni viungo wa yanga waliokuwa na kazi ya kiulinzi na pia kushambulia. Embu tuwekeeni namba ni clear chance zipi simba imetengeneza vs clear chance walizotengeneza yanga. Kutopatikana goli hakumanishi ni kuzidiwa kwa viungo bal inawezekana ni tatizo la kukosa umakini kwa wamaliziaji.
Mbona unajikaanga Sana?
Rudi kwenye takwimu za mchezo ule ndipo utajua nan alifika Mara nyingi golin kwa mwenzie .
Hakuna Cha Djuma kupanda Wala Cha Aucho wala Bangala Wala fei Wala mayele .
Ile game mchezaj wa yanga ambae alikua na madhara kidogo Ni yule Mrundi Ntibanzokiza tu .

Nikiri tu waz Simba hatuna wafungaji Makin Hilo ndio tatizo ,lakin tungekua na forward fundi Ile game kipindi cha pili mlikua mnakufa nyingi Sana.

Fei anayeonekana kinara kwenye game za mikoan huko lakin akikutana na timu km Simba Au River ya Nigeria anakua Hana utofaut na wale wachezaji wa chandimu.

Ajabu Sasa kila siku wanamuimba Fei eti Ni bonge la kiungo wakati hawez kuibeba timu began linapokuja swala la mechi za wanaume ukiachana na hizi za wavulana.
 
Huyu si ajabu alisimuliwa mechi,kipa wa yanga kwanini alikuwa anapoteza muda kama wameshinda.
 
Mbona unajikaanga Sana?
Rudi kwenye takwimu za mchezo ule ndipo utajua nan alifika Mara nyingi golin kwa mwenzie .
Hakuna Cha Djuma kupanda Wala Cha Aucho wala Bangala Wala fei Wala mayele .
Ile game mchezaj wa yanga ambae alikua na madhara kidogo Ni yule Mrundi Ntibanzokiza tu .

Nikiri tu waz Simba hatuna wafungaji Makin Hilo ndio tatizo ,lakin tungekua na forward fundi Ile game kipindi cha pili mlikua mnakufa nyingi Sana.

Fei anayeonekana kinara kwenye game za mikoan huko lakin akikutana na timu km Simba Au River ya Nigeria anakua Hana utofaut na wale wachezaji wa chandimu.

Ajabu Sasa kila siku wanamuimba Fei eti Ni bonge la kiungo wakati hawez kuibeba timu began linapokuja swala la mechi za wanaume ukiachana na hizi za wavulana.
Takwimu ipi ambayo inaakisi Simba kuizidi Yanga? On targert wamepishana shuti moja tu. Labda kama ni mipira iliyopigwa nje ya lango ambayo ilikuwa ni tofauti ya mashuti manne. Shots off targert ni mashuti yasiyo na faida. Vipi kuhusu corner? Vipi kuhusu umiliki wa mpira? Vipi kuhusu kucheza faulo zaidi? Halafu mimi nimezungumzia ckear chance zilizotengenezwa. Aucho kapiga free header kapaisha juu, Mayele kapata clear chance mbili kashindwa kuzitumia, Saidoo kapiga muwa mmoja matata sana hata Manula hakuugusa ukagonga mwamba. Tuambie ni clear chance ngapi simba waliweza kuzipata.
IMG_20211224_073331.jpg
 
Aliyeniumba nacho ndiyo hakukupa Wewe. Aliyekudanganya kuwa sikujui au sijakujua ni nani? Mimi Masikini je, Wewe huo Utajiri ulikuwa nao lini?

Tena nakurahisishia Kazi kwakuwa unataka Sifa Kuwaaminisha Members wa JamiiForums kuwa unanijua sana huenda kwakuwa nilikuwa nakukaza Nsumba nimekuruhusu weka hadi Picha yangu na Majina yangu yote yataje haoa sawa?

Nimekuruhusu Pumbavu Wewe. Kukunyamazia kila unichokozapo unajiona Mshindi au unaniweza? Nipo katika hilo WhatsApp Group lenu na nina Taarifa zako za Kutosha tu pamoja na Kashfa yako Moja. Endelea Kujidanganya.

Hivi kuwa na Kigugumizi ( Stammerer / Speech Impaired ) Kwako ni Jambo la Kukushangaza na Kuliimba kila mara?

Hivi katika Biblia Moses ( Musa ) hakuwa nacho? Mwenyezi Mungu hakumtumia katika Kuwakomboa Wayahudi pamoja na kwamba Kaka yake Aron alikuwa hana hicho Kigugumizi? JamiiForums Co Founder Mike Mushi hana? Rais Museveni wa Uganda na aliyekuwa Rais wa Congo DR hawakuwa nacho? Je, kiliwazuia Wao kufanya Kazi zao kwa Ufanisi.

Kila uingiapo hapa JamiiForums ukiona tu nimeanzisha Uzi ( Mada ) unaacha Kuichangia na unachokijua ni Kunishambulia, kuonyesha kuwa unanijua sana na kungangania tu kuwa Nina Kigugumizi utadhani Mwanadamu kuwa nacho ni Kosa la Jinai.

Mbona hautangazi kuwa nimekuzidi IQ?
popoma bwana una mikwara sana
Utadhani kweli 😀😀😀
 
Mkuu mbona kama vile unakaribia kupiga Ikulu? Japo Yeye ni Mwanaume ila ana Kashfa yake moja hivi nimepenyezewa isiyo mbali na huu ( huo ) Umama ulioutaja hapa.

Tunaomjua vyema tunavyompotezea anaona kama vile tunamuogopa wakati tunamsanifu na Kumdharau sana tu.

Cc: Its Pancho
au sio papaa vipi yule mama wa futuhi yupo?😀
 
popoma bwana una mikwara sana
Utadhani kweli 😀😀😀
Ukweli ulionao Wewe ni upi zaidi ya Wivu na Ushamba wa Kukereka na 'Fame' yangu ya Kutukuka hapa JamiiForums? Tokea uanze Kunishambulia na kujifanya unanijua sana umefaidika na nini labda?

Nakustahi tu kwa Heshima ya Jamvi hili na endelea kujiona unaniweza au umeniweza au una uwezo wa Kushindana nami Jabali.
 
au sio papaa vipi yule mama wa futuhi yupo?😀
Nilimkaza Yeye pamoja na Wanae Wawili Asha na Amina. au labda ulitaka Burudani ile anipe Mama yako Mzazi labda ndiyo ungeridhika na kuacha Kuliongelea hili kila mara hapa JamiiForums?

Je, una Swali lingine tena? Mbona huulizii na Yule Mama aliyekuwa ana Cafeteria yake ambaye nae nilimkaza hadi akanipenda na nikawa Nakula 'Misotojo' yake pale Bure kabisa huku Wewe ukinunua?

Ukimaliza Kuniuliza haya Maswali yako yote nami nitaomba unipe ruhusa ya Kukuuliza vipi Yule Mwarabu wako pale Mwanza mliishia nae wapi na mbona kila ulipokuwa ukienda ukirejea Darfur Hostel ulikuwa Umelegea sana na Safari zako za kwenda Chooni zilikuwa hazina idadi wala udhibiti?
 
😀😀😀 popoma naona umechachamaa? Mama yangu tena? Mwarabu tena?
Hujui mimi ndio nilikufundisha kunyandua mademu?
 
Ukweli ulionao Wewe ni upi zaidi ya Wivu na Ushamba wa Kukereka na 'Fame' yangu ya Kutukuka hapa JamiiForums? Tokea uanze Kunishambulia na kujifanya unanijua sana umefaidika na nini labda?

Nakustahi tu kwa Heshima ya Jamvi hili na endelea kujiona unaniweza au umeniweza au una uwezo wa Kushindana nami Jabali.
Hunijui ila mimi nakujua pablo
Nacheka sana aseeh 😀😀

Mbona umekasirika
 
😀😀😀 popoma naona umechachamaa? Mama yangu tena? Mwarabu tena?
Hujui mimi ndio nilikufundisha kunyandua mademu?
Naona unataka Kuijenga, Kuikuza na Kujulikana upesi JamiiForums kwa Mgongo wa Kujifanya unanijua sana na unanishambulia mpaka na Madhaifu yangu ya Kibinadamu niliyoumbwa nayo na Mwenyezi Mungu. Endelea tu sawa?
 
Hunijui ila mimi nakujua pablo
Nacheka sana aseeh 😀😀

Mbona umekasirika
Aliyekuambia sikujui au sijakujua ni nani wakati aliyekuambia kuhusu Mimi ni Rafiki yangu ( tena Mtani wangu ) wa Kihaya ambaye mara kwa mara nawasiliana nae?

Mwenyewe unajiona bonge la Mjanja au? Kwa taarifa yako tu sasa hii ID yangu na Kunijua siyo Wewe tu pekee au 'Washkaji' zangu baadhi wa Darfur Hostel SAUT bali hata Walimu ( Wahadhiri wangu Wapendwa ) Dk. Kitima ( Former Vice Chancellor wa SAUT ), Dk. Mfumbusa, Dk. Ayub Ryoba, Dk. Ng'atigwa, Dk. Mataba, Dk. Mkosamali, Dk. Matumaini na Dk. Kaijanangoma wanaijua na ni 'Followers' wangu pia hapa je, umeshaona 'Wakishoboka' Kishamba ( Kipuuzi ) kama Wewe?

Umaarufu wangu unakutesa sana. Pole!
 
Hata angekuwa kiungo box to box, Kanoute ni kawaida sanaa kwa wazawa wengi tu hapa bongo
Zuberi dabi na cleophace mkandala kwangu Mimi ni viungo bora zaidi ya kanoute,ila napenda mikia wasiliamini hili na waendelee kumuamini kanoute ili timu lao liendelee kuwa bovu
 
Takwimu ipi ambayo inaakisi Simba kuizidi Yanga? On targert wamepishana shuti moja tu. Labda kama ni mipira iliyopigwa nje ya lango ambayo ilikuwa ni tofauti ya mashuti manne. Shots off targert ni mashuti yasiyo na faida. Vipi kuhusu corner? Vipi kuhusu umiliki wa mpira? Vipi kuhusu kucheza faulo zaidi? Halafu mimi nimezungumzia ckear chance zilizotengenezwa. Aucho kapiga free header kapaisha juu, Mayele kapata clear chance mbili kashindwa kuzitumia, Saidoo kapiga muwa mmoja matata sana hata Manula hakuugusa ukagonga mwamba. Tuambie ni clear chance ngapi simba waliweza kuzipata.View attachment 2055225
Namba hazijawahi kudanganya aisee😅😅.
Akikujibu kwa hoja bila taarabu au majungu, naomba unitag mkuu
 
Back
Top Bottom