utopolo og
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 575
- 1,575
Nilikuwa nina matumaini sana na Azam kwamba watamaliza nafasi ya pili msimu huu, ila baada ya mechi ya leo nawaondoa kwenye kinyang'anyiro hicho..
Singida Black Stars nao bado wana nafasi ila nadhani katikati ya msimu pumzi itawaisha nao kurudi kwenye nafasi yao kama mid-table team.
Simba hawatakuwa na upinzani mkubwa sana kwenye kugombea nafasi ya pili msimu huu wa ligi kuu ya NBC..
Naona unbeaten season nyingine tena kwa Wananchi kwani gape la ubora kati yake na hawa wengine ni kubwa sana........
YANGA BINGWA
Kwa uonavyo wewe simba una kikosi gani cha kushindana na Yanga!?Mashabiki maandazi wa UTO mna higj expectations sana 🤣🤣🤣🤣
Acheni tuinjoi futbol msipige ramli, Ken Gold kawatoa kamasi janaKwa uonavyo wewe simba una kikosi gani cha kushindana na Yanga!?
Yanga bingwa mtake msitake.
Another unbeaten season....Yanga bingwaDuh,huyu ameandika akiwa anakata gogo chooni..utop wanamambo ya kimvi mavx hatari
YANGA BINGWA ni nafasi ya kwanza; nafasi nyingine 16 zinazofuata huko nyuma haztuhusuNilikuwa nina matumaini sana na Azam kwamba watamaliza nafasi ya pili msimu huu, ila baada ya mechi ya leo nawaondoa kwenye kinyang'anyiro hicho..
Singida Black Stars nao bado wana nafasi ila nadhani katikati ya msimu pumzi itawaisha nao kurudi kwenye nafasi yao kama mid-table team.
Simba hawatakuwa na upinzani mkubwa sana kwenye kugombea nafasi ya pili msimu huu wa ligi kuu ya NBC..
Naona unbeaten season nyingine tena kwa Wananchi kwani gape la ubora kati yake na hawa wengine ni kubwa sana........
YANGA BINGWA
Simba ikijitahidi sana nafasi ya nne ,la sivyo nafasi ya tano inamuhusu.Nilikuwa nina matumaini sana na Azam kwamba watamaliza nafasi ya pili msimu huu, ila baada ya mechi ya leo nawaondoa kwenye kinyang'anyiro hicho..