Sioni wa kuitoa Simba nafasi ya pili kwenye ligi kuu NBC

utopolo og

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2022
Posts
575
Reaction score
1,575
Nilikuwa nina matumaini sana na Azam kwamba watamaliza nafasi ya pili msimu huu, ila baada ya mechi ya leo nawaondoa kwenye kinyang'anyiro hicho..

Singida Black Stars nao bado wana nafasi ila nadhani katikati ya msimu pumzi itawaisha nao kurudi kwenye nafasi yao kama mid-table team.

Simba hawatakuwa na upinzani mkubwa sana kwenye kugombea nafasi ya pili msimu huu wa ligi kuu ya NBC..

Naona unbeaten season nyingine tena kwa Wananchi kwani gape la ubora kati yake na hawa wengine ni kubwa sana.

YANGA BINGWA

Soma Pia: FT: Azam FC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | New Amaan Complex Zanzibar | Septemba 26, 2024
 
Nilikuwa nina matumaini sana na Azam kwamba watamaliza nafasi ya pili msimu huu, ila baada ya mechi ya leo nawaondoa kwenye kinyang'anyiro hicho..

Singida Black Stars nao bado wana nafasi ila nadhani katikati ya msimu pumzi itawaisha nao kurudi kwenye nafasi yao kama mid-table team.

Simba hawatakuwa na upinzani mkubwa sana kwenye kugombea nafasi ya pili msimu huu wa ligi kuu ya NBC..

Naona unbeaten season nyingine tena kwa Wananchi kwani gape la ubora kati yake na hawa wengine ni kubwa sana........

YANGA BINGWA

Utopolo- Og unajitahidi sana,unayo Point.....Naunga mkono hoja ya kuwa 'Usikilizwe'....!
 
GYUY54EXMAAiZqf.jpeg

Umesema ulianza kuhisi kichaa ukiwa na miaka mingapi?
 
Nilikuwa nina matumaini sana na Azam kwamba watamaliza nafasi ya pili msimu huu, ila baada ya mechi ya leo nawaondoa kwenye kinyang'anyiro hicho..

Singida Black Stars nao bado wana nafasi ila nadhani katikati ya msimu pumzi itawaisha nao kurudi kwenye nafasi yao kama mid-table team.

Simba hawatakuwa na upinzani mkubwa sana kwenye kugombea nafasi ya pili msimu huu wa ligi kuu ya NBC..

Naona unbeaten season nyingine tena kwa Wananchi kwani gape la ubora kati yake na hawa wengine ni kubwa sana........

YANGA BINGWA
YANGA BINGWA ni nafasi ya kwanza; nafasi nyingine 16 zinazofuata huko nyuma haztuhusu
 
Nilikuwa nina matumaini sana na Azam kwamba watamaliza nafasi ya pili msimu huu, ila baada ya mechi ya leo nawaondoa kwenye kinyang'anyiro hicho..

Singida Black Stars nao bado wana nafasi ila nadhani katikati ya msimu pumzi itawaisha nao kurudi kwenye nafasi yao kama mid-table team.

Simba hawatakuwa na upinzani mkubwa sana kwenye kugombea nafasi ya pili msimu huu wa ligi kuu ya NBC..

Naona unbeaten season nyingine tena kwa Wananchi kwani gape la ubora kati yake na hawa wengine ni kubwa sana........

YANGA BINGWA
Simba ikijitahidi sana nafasi ya nne ,la sivyo nafasi ya tano inamuhusu.

Hifadhi hii comment.
 
Subiri muanze mechi za mikoani kwenye viwanja vya mbigili ndio utaelewa hii ligi ni ngumu.

Huoni Yanga kule mbeya na kagera alivyo haso?

Utakuja kunielewa baadae
 
Nashauri benchi la ufundi la simba kama kweli wako seriously na nafasi ya pili msimu huu wampe nafasi uyu awesu ana kitu..
 
Back
Top Bottom