Sioni Yanga akimfunga SSC Jumamosi

Kwahiyo kushinda mechi za ndani ndiyo ukomavu? Ukomavu unapima kwa game za ndani pekee yake ? Ingekuwa ivo basi Yanga ingeingia hata makundi basi, si alikuwa mtu wa pili
 
Huwezi kusema Yanga ipo Tested , ukitaka kujua Yanga is not tested, subiri Preliminary stage zianze ndiyo utaelewa
 
..👊👊👊..
Andiko bora kabisa hili.
 
Mwijaku Fc a.k.a Simba hii ambayo Mayele alikojolea kimoja jumamos iifunge Yanga...?[emoji23]
Msimu huu Yanga inabeba kombe bila kufungwa, na simba itamaliza ligi bila kukaa kileleni au hata kuwa pungufu ya points 5 nyuma ya Yanga...

Mtabeba kombe na kwenda kuwa kituko Champion ligi. Mtaenda Kusema Visit Zanzibar na Kilimanjaro. Kwakuwa mmelilia wembe tunawapa
 
Kwahiyo kushinda mechi za ndani ndiyo ukomavu? Ukomavu unapima kwa game za ndani pekee yake ? Ingekuwa ivo basi Yanga ingeingia hata makundi basi, si alikuwa mtu wa pili
Ukomavu unapaswa uone kwa game zote, za ndani na nje ya nchi. Ukiona timu inafanya vizuri upande mmoja jua hiyo either inakamia au haijawa na ukomavu wa kutosha.
 
Mkuu Al ahly anachukua ubingwa wa Afrika still huko kwao anapigwa kwa Hi yo unataka kusema Kama simba ni bora basi isifungwe na Timu ndogo.
Probably we ni premature kwenye football au umejaa ushabiki.
Ulewa hoja yake ilikuwa ni ipi, unaweza kuta hapo ulipo ni mwanamke mzima tena na watoto watatu lakini bado hoja ndogo zinakusumbua.
 
Ukomavu unapaswa uone kwa game zote, za ndani na nje ya nchi. Ukiona timu inafanya vizuri upande mmoja jua hiyo either inakamia au haijawa na ukomavu wa kutosha.
Jumamosi mtajua hamjui.

Kuna mtu alisema Maumivu ya gap la point 13 yataanza pindi mtakapotolewa katika shirikisho na sasa maumivu yenu yanaanza kuonekana rasmi
 
Sasa ubora wenu mara ya mwisho simba kupata ushindi mbele ya yanga unakumbuka ni lini? Wewe wivu na kiroho cha korosho ndo kinachokusumbua, iyo taste anayoipata simba kwenye mechi za kimataifa mbona uwa atuioni inapokutana na yanga? Au ni mara ya kwanza kukutana simba ikiwa inashiriki michezo ya kimataifa?
 
Kwahiyo kushinda mechi za ndani ndiyo ukomavu? Ukomavu unapima kwa game za ndani pekee yake ? Ingekuwa ivo basi Yanga ingeingia hata makundi basi, si alikuwa mtu wa pili
Unasema umekomaa kucheza mechi za nje kwaiyo logic yako huo ukomavu ndo unaenda kuifunga yanga sasa miaka yote umechukua point ngapi kwa yanga pamoja na ukomavu wako? Ukiweka hoja uwe na point ya msingi kuitetea sio kukurupuka tu kuongea vitu visivyo na mashiko
 
Ni kweli simba anaweza kushinda jumamosi,lakini sio kwa sababu hizo ulizozisema, hizo sababu hazina mashiko misimu iliyopita simba alifungwa na yanga akiwa ametoka kuingia robo fainali ya klabu bingwa Afrika hivyo unamaanisha kwenye michuano hiyo alikutana na timu nyepesi.
Hivi majuzi simba ametoa sare na polisi wakiwa wametoka kufanikiwa kuingia robo fainali, wanatoa sare na polisi ambayo haijawahi hata kufika hatua hizo.
 
Foward line ya siMba inaongozwa cresence magori na try again??? Apo kwanini wasishinde??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…