Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Mikia buana,mmerudi ligi ya mbuzi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hoja yako inakosa logic. Kama Simba alicheza hizo mechi na akakomaa kama unavyosema, tulitarajia afanye vizuri mechi za ndani na za nje kutokana na huo ukomavu. Hivi utawaambia watu kitu gani kwamba Simba kakomaa ila anashindwa kumfunga Mtibwa?
Au tuulize, iweje useme Yanga hajakomaa ila anaongoza ligi kwa margin ya points 13?. Kurahisisha zaidi, hebu eleza, huo ukomavu wa Simba katika muktadha wa ligi inayoongozwa na Yanga.
Wakati Kwenye Ligi Misimu Miwili Mfululizo Timu Ambayo Haijawahi Kuwa Tested Na Izo Aina Ya Mechi Unazo Ziongelea Wewe Tumewabutua Na Hamjawahi Kuchukua Point 3 Mbele Yetu Af Sijui Unaongea Nn Hapa Na Maelezo Yako Marefu Kama Mkojo Wa Firauni [emoji23]
..👊👊👊..Naendelea kusema kuwa ni makosa kujiaminisha kuwa Yanga anakikosi bora, pamoja na kuongoza ligi na uwezekano mkubwa wa kuchukua kombe bado hatuwezi kusema Yanga ni bora. Yanga bado haijawa TESTED.
Ili uwe bora ni lazima upitishwe kwenye matanuru ya moto yatakayoenda kutoa vya ndani na kuvileta nje na vya nje kuingizwa ndani.
Hii ni pamoja na kucheza na timu kubwa za nje ya nchi kwenye michuano mikubwa kama anayopitia SSC.
SSC inapitia changamoto kubwa na inaweza kuona madhaifu yao. Alisikika Pablo akisema we need a project to have a quality team .
Changamoto anayokutana nayo Yanga ni Namungo , Geita n.k. Timu ambazo beki zake na Safu ya ushambuliaji ni below average. Yanga anatakiwa kukutana na mtu kama Asec, Berkane, Orlando ili tuone huo ubora wao halisi. Tuone Mayele akitetema ndani ya hizo beki.
Mtihani mkuu wa Yanga ilikuwa ni kucheza na Somalia , na walitoka suluhu, nasema tena Yanga haijawa tested bado
Kwa sasa Yanga itaenda Champion Ligi kuna uwezekano mkubwa ikatoka kwenye Preliminary stages. Sio Mbali ni Octoba tu mtakuja na majibu.
Jumamosi kuna nafasi kubwa SSC akashinda hiyo mechi kwa ubora wa SSC kibongo bongo Yanga bado sana. Kama timu yako inachukua kombe na kuishia stage za awali, huwezi kusema unakikosi bora.
SSC itashinda Jumamosi na Mayele atandelea kuota namna bora ya kutimiza deni fake lake.
Mwijaku Fc a.k.a Simba hii ambayo Mayele alikojolea kimoja jumamos iifunge Yanga...?[emoji23]
Msimu huu Yanga inabeba kombe bila kufungwa, na simba itamaliza ligi bila kukaa kileleni au hata kuwa pungufu ya points 5 nyuma ya Yanga...
Na wale akina YkipeBila kumsahau Nchimbi
Ukomavu unapaswa uone kwa game zote, za ndani na nje ya nchi. Ukiona timu inafanya vizuri upande mmoja jua hiyo either inakamia au haijawa na ukomavu wa kutosha.Kwahiyo kushinda mechi za ndani ndiyo ukomavu? Ukomavu unapima kwa game za ndani pekee yake ? Ingekuwa ivo basi Yanga ingeingia hata makundi basi, si alikuwa mtu wa pili
Ulewa hoja yake ilikuwa ni ipi, unaweza kuta hapo ulipo ni mwanamke mzima tena na watoto watatu lakini bado hoja ndogo zinakusumbua.Mkuu Al ahly anachukua ubingwa wa Afrika still huko kwao anapigwa kwa Hi yo unataka kusema Kama simba ni bora basi isifungwe na Timu ndogo.
Probably we ni premature kwenye football au umejaa ushabiki.
Jumamosi mtajua hamjui.Ukomavu unapaswa uone kwa game zote, za ndani na nje ya nchi. Ukiona timu inafanya vizuri upande mmoja jua hiyo either inakamia au haijawa na ukomavu wa kutosha.
... Mbona Hamkuwahi Kuchukua Point 3 Dhidi Ya Yanga Takribani Misimu Miwili Mfululizo?
Misimu Miwili Mfululizo Wamecheza Izo Mechi Zao Za Ukomavu Na Hawajawahi Kuchukua Point 3 Mbele Ya Timu Isiyokuwa Na Ukomavu
hizo ni ligi mbili tofautiKuna mtu alisema Maumivu ya gap la point 13 yataanza pindi mtakapotolewa katika shirikisho na sasa maumivu yenu yanaanza kuonekana rasmi
Sasa ubora wenu mara ya mwisho simba kupata ushindi mbele ya yanga unakumbuka ni lini? Wewe wivu na kiroho cha korosho ndo kinachokusumbua, iyo taste anayoipata simba kwenye mechi za kimataifa mbona uwa atuioni inapokutana na yanga? Au ni mara ya kwanza kukutana simba ikiwa inashiriki michezo ya kimataifa?Naendelea kusema kuwa ni makosa kujiaminisha kuwa Yanga anakikosi bora, pamoja na kuongoza ligi na uwezekano mkubwa wa kuchukua kombe bado hatuwezi kusema Yanga ni bora. Yanga bado haijawa TESTED.
Ili uwe bora ni lazima upitishwe kwenye matanuru ya moto yatakayoenda kutoa vya ndani na kuvileta nje na vya nje kuingizwa ndani.
Hii ni pamoja na kucheza na timu kubwa za nje ya nchi kwenye michuano mikubwa kama anayopitia SSC.
SSC inapitia changamoto kubwa na inaweza kuona madhaifu yao. Alisikika Pablo akisema we need a project to have a quality team .
Changamoto anayokutana nayo Yanga ni Namungo , Geita n.k. Timu ambazo beki zake na Safu ya ushambuliaji ni below average. Yanga anatakiwa kukutana na mtu kama Asec, Berkane, Orlando ili tuone huo ubora wao halisi. Tuone Mayele akitetema ndani ya hizo beki.
Mtihani mkuu wa Yanga ilikuwa ni kucheza na Somalia , na walitoka suluhu, nasema tena Yanga haijawa tested bado
Kwa sasa Yanga itaenda Champion Ligi kuna uwezekano mkubwa ikatoka kwenye Preliminary stages. Sio Mbali ni Octoba tu mtakuja na majibu.
Jumamosi kuna nafasi kubwa SSC akashinda hiyo mechi kwa ubora wa SSC kibongo bongo Yanga bado sana. Kama timu yako inachukua kombe na kuishia stage za awali, huwezi kusema unakikosi bora.
SSC itashinda Jumamosi na Mayele atandelea kuota namna bora ya kutimiza deni fake lake.
Kwani hii gemu iliishaje?
Unasema umekomaa kucheza mechi za nje kwaiyo logic yako huo ukomavu ndo unaenda kuifunga yanga sasa miaka yote umechukua point ngapi kwa yanga pamoja na ukomavu wako? Ukiweka hoja uwe na point ya msingi kuitetea sio kukurupuka tu kuongea vitu visivyo na mashikoKwahiyo kushinda mechi za ndani ndiyo ukomavu? Ukomavu unapima kwa game za ndani pekee yake ? Ingekuwa ivo basi Yanga ingeingia hata makundi basi, si alikuwa mtu wa pili
Ni kweli simba anaweza kushinda jumamosi,lakini sio kwa sababu hizo ulizozisema, hizo sababu hazina mashiko misimu iliyopita simba alifungwa na yanga akiwa ametoka kuingia robo fainali ya klabu bingwa Afrika hivyo unamaanisha kwenye michuano hiyo alikutana na timu nyepesi.Naendelea kusema kuwa ni makosa kujiaminisha kuwa Yanga anakikosi bora, pamoja na kuongoza ligi na uwezekano mkubwa wa kuchukua kombe bado hatuwezi kusema Yanga ni bora. Yanga bado haijawa TESTED.