Sioni Yanga akimfunga SSC Jumamosi

Ukweli mchungu mm ni Yanga lkn ni kweli Ssc amepita mechi kubwa kubwa zilizompa ukomavu jmosi kazi siyo ndogo
Simba iliyokuwa ya moto ni ile ya kocha mzuzu hii ni simba ya kawaida sana jumamosi tunamfungisha vilago Kocha Pabro na wale wazee wote kina Wawa, Kagere na wengineo hasa yule ambaye wana udhia naye Mugalu wajiandae kusepeshwa.
 
Kama tunaongelea mechi ya ligi kuu, sioni uhalali wa kusema Yanga hajawa tested. Yanga anakwenda kucheza na Simba ambayo tayari imeshakuwa tested kwenye ligi hii na kuteteleka, tena several times. Kumbuka pia Yanga anezifunga timu kama Biashara united ambayo ilishazionesha ubabe timu za kimataifa (mojawapo ikifika hadi hatua ya robo fainali CAF - Al Ahly Tripoli).

 
Mbona mnatuchanganya wengine mnasifia kikosi ni bora, wengine wanalalamika kuwa kikosi sio bora wanaorodhesha wachezaji kibao wa kusepa kwenye dirisha la usajili. Sasa tushike lipi?
 
Tripoli amefika nusu fainali.
 
Naona wao wameanza kuwa tested msimu huu [emoji1][emoji1][emoji1] iliyopita hawakua tested maana kumfunga Yanga kwenye ligi alishindwa.
 
Tested tested tested ... Misimu yote hiyo hamkucheza huko CAF? Au mmeanza msimu huu? Hamkufika Robo?
... Na bado mkicheza na kina Sarpong, Nchimbi, Kipenseli n.k hampati points 3.

Test ya Shirikisho ndiyo bora zaidi kuliko ya Champions league au?

Au test ya saa hii ni bora sana?
 
Rubbish
 
Unacheza na timu za nje halafu unakuja kutoa draw na Polisi hii imekaaje
 
Nakushukuru mleta mada kwa kuandika ukweli mtupu, tatizo la Yanga ni kujiamisha au kujiona wako level moja na Simba wakati sio kweli au hii nafasi ya kucheza na Simba inawafanya mjione mpo sawa na Simba.
Simba iko level gani?
 
Nakushukuru mleta mada kwa kuandika ukweli mtupu, tatizo la Yanga ni kujiamisha au kujiona wako level moja na Simba wakati sio kweli au hii nafasi ya kucheza na Simba inawafanya mjione mpo sawa na Simba.
Msisahau mpo kundi moja na Pamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…