Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Naendelea kusema kuwa ni makosa kujiaminisha kuwa Yanga anakikosi bora, pamoja na kuongoza ligi na uwezekano mkubwa wa kuchukua kombe bado hatuwezi kusema Yanga ni bora. Yanga bado haijawa TESTED.
Ili uwe bora ni lazima upitishwe kwenye matanuru ya moto yatakayoenda kutoa vya ndani na kuvileta nje na vya nje kuingizwa ndani.
Hii ni pamoja na kucheza na timu kubwa za nje ya nchi kwenye michuano mikubwa kama anayopitia SSC.
SSC inapitia changamoto kubwa na inaweza kuona madhaifu yao. Alisikika Pablo akisema we need a project to have a quality team .
Changamoto anayokutana nayo Yanga ni Namungo , Geita n.k. Timu ambazo beki zake na Safu ya ushambuliaji ni below average. Yanga anatakiwa kukutana na mtu kama Asec, Berkane, Orlando ili tuone huo ubora wao halisi. Tuone Mayele akitetema ndani ya hizo beki.
Mtihani mkuu wa Yanga ilikuwa ni kucheza na Somalia , na walitoka suluhu, nasema tena Yanga haijawa tested bado
Kwa sasa Yanga itaenda Champion Ligi kuna uwezekano mkubwa ikatoka kwenye Preliminary stages. Sio Mbali ni Octoba tu mtakuja na majibu.
Jumamosi kuna nafasi kubwa SSC akashinda hiyo mechi kwa ubora wa SSC kibongo bongo Yanga bado sana. Kama timu yako inachukua kombe na kuishia stage za awali, huwezi kusema unakikosi bora.
SSC itashinda Jumamosi na Mayele atandelea kuota namna bora ya kutimiza deni fake lake.