Sioni Yanga akimfunga SSC Jumamosi

Sioni Yanga akimfunga SSC Jumamosi

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,534
Reaction score
7,866
Naendelea kusema kuwa ni makosa kujiaminisha kuwa Yanga anakikosi bora, pamoja na kuongoza ligi na uwezekano mkubwa wa kuchukua kombe bado hatuwezi kusema Yanga ni bora. Yanga bado haijawa TESTED.

Ili uwe bora ni lazima upitishwe kwenye matanuru ya moto yatakayoenda kutoa vya ndani na kuvileta nje na vya nje kuingizwa ndani.

Hii ni pamoja na kucheza na timu kubwa za nje ya nchi kwenye michuano mikubwa kama anayopitia SSC.

SSC inapitia changamoto kubwa na inaweza kuona madhaifu yao. Alisikika Pablo akisema we need a project to have a quality team .

Changamoto anayokutana nayo Yanga ni Namungo , Geita n.k. Timu ambazo beki zake na Safu ya ushambuliaji ni below average. Yanga anatakiwa kukutana na mtu kama Asec, Berkane, Orlando ili tuone huo ubora wao halisi. Tuone Mayele akitetema ndani ya hizo beki.

Mtihani mkuu wa Yanga ilikuwa ni kucheza na Somalia , na walitoka suluhu, nasema tena Yanga haijawa tested bado

Kwa sasa Yanga itaenda Champion Ligi kuna uwezekano mkubwa ikatoka kwenye Preliminary stages. Sio Mbali ni Octoba tu mtakuja na majibu.

Jumamosi kuna nafasi kubwa SSC akashinda hiyo mechi kwa ubora wa SSC kibongo bongo Yanga bado sana. Kama timu yako inachukua kombe na kuishia stage za awali, huwezi kusema unakikosi bora.

SSC itashinda Jumamosi na Mayele atandelea kuota namna bora ya kutimiza deni fake lake.
 
Naendelea kusema kuwa ni makosa kujiaminisha kuwa Yanga anakikosi bora, pamoja na kuongoza ligi na uwezekano mkubwa wa kuchukua kombe bado hatuwezi kusema Yanga ni bora. Yanga bado haijawa TESTED...
Hoja yako inakosa logic. Kama Simba alicheza hizo mechi na akakomaa kama unavyosema, tulitarajia afanye vizuri mechi za ndani na za nje kutokana na huo ukomavu. Hivi utawaambia watu kitu gani kwamba Simba kakomaa ila anashindwa kumfunga Mtibwa?

Au tuulize, iweje useme Yanga hajakomaa ila anaongoza ligi kwa margin ya points 13?. Kurahisisha zaidi, hebu eleza, huo ukomavu wa Simba katika muktadha wa ligi inayoongozwa na Yanga.
 
Tumeomba hii mechi ihairishwe
Hii mechi ikiahirishwa, Yanga watajipanga. Kwa sasa Simba ipo moto moto na Yanga imekuwa ikizidiwa uchezaji na hizi timu licha ya kushinda, kwa hiyo mechi ipigwe siku hiyo hiyo watu wawe exposed
 
Simba kutoshinda goli 3 Jumamosi ni udhaifu mkubwa sana kwao.Maana timu yao imepita ktk matanuru haswaa,so wamekomaa na kuwa ni timu kubwa kuliko yanga
Kwani Kupita Kwenye Ayo Matanuru Mmeanza Msimu Huu?, Na Mbona Hamkuwahi Kuchukua Point 3 Dhidi Ya Yanga Takribani Misimu Miwili Mfululizo?
 
Hoja yako inakosa logic. Kama Simba alicheza hizo mechi na akakomaa kama unavyosema, tulitarajia afanye vizuri mechi za ndani na za nje kutokana na huo ukomavu...
Mkuu Al ahly anachukua ubingwa wa Afrika still huko kwao anapigwa kwa Hi yo unataka kusema Kama simba ni bora basi isifungwe na Timu ndogo.

Probably we ni premature kwenye football au umejaa ushabiki.
 
Mwijaku Fc a.k.a Simba hii ambayo Mayele alikojolea kimoja jumamos iifunge Yanga...?😂
Msimu huu Yanga inabeba kombe bila kufungwa, na simba itamaliza ligi bila kukaa kileleni au hata kuwa pungufu ya points 5 nyuma ya Yanga...
 
Back
Top Bottom