Sipati ajira, sioni faida ya elimu yangu, naona bora kuuza vyeti

Kichwa cha uzi chahusika, Kwa wale wenye uhitaji wa vyeti mimi ninavyo.
Nitakuuzia vyeti vyote kuanzia sekondar mpaka chuo ili visikusumbue kwenye matumizi yako.

Sifa ya vyeti,
O-level kina masomo 10 hakina F
A-level matatu (comb CBA) hakina F zaidi ya Bam
Degree ya Sua na Post graduate diploma in Education chuo St. John.

Bei ya vyeti vyote ni tsh 18,000,000
Tutawasiliana Pm mpaka tuonane nikukabidh mzigo nawe unipe hiyo pesa.
Hii ni baada ya kuona naenda off target na mahitaji ya serikali yangu kwa soko la ajira.
Kwa sasa napatikana Rufiji njoo tufanye biashara.
Picha za kwenye cheti ?
 
Kama vimeshindwa kukusaidia mwenyewe uliyevisotea, nani atakupa hela kwa gundu hilo? Kifupi pambana na hali yako, vyeti sio dili.
 
Kichwa cha uzi chahusika, Kwa wale wenye uhitaji wa vyeti mimi ninavyo.
Nitakuuzia vyeti vyote kuanzia sekondar mpaka chuo ili visikusumbue kwenye matumizi yako.

Sifa ya vyeti,
O-level kina masomo 10 hakina F
A-level matatu (comb CBA) hakina F zaidi ya Bam
Degree ya Sua na Post graduate diploma in Education chuo St. John.

Bei ya vyeti vyote ni tsh 18,000,000
Tutawasiliana Pm mpaka tuonane nikukabidh mzigo nawe unipe hiyo pesa.
Hii ni baada ya kuona naenda off target na mahitaji ya serikali yangu kwa soko la ajira.
Kwa sasa napatikana Rufiji njoo tufanye biashara.
Hayo mawazo potofu,Kama hivyo vyeti havijakusaidia wewe unafikiri huyo atakayevinunua vitamsaidia nini? Halafu hiyo milioni kumi na nane inatoka tu kirahisu rahisi? Sema uko wapi tuone unafanyaje ili utoke.Usidharau elimu,elimu siyo vyeti Ni maarifa uliyoyapata.
 
Hayo mawazo potofu,Kama hivyo vyeti havijakusaidia wewe unafikiri huyo atakatevinunua vitamsaidia nini? Halafu hiyo miluoni kumi na nane inatika tu kirahisu rahisi? Sema uko wapi tuone unafanyaje ili utoke.Usidharau elimu,elimu siyo vyeti Ni maarifa uliyoyapata.
Ujuzi ninao, sasa ili niufanyie kazi nahitaji mtaji ndo maana nikiuza vyeti hiyo pesa ndo itanidaidia.
Kuna wengine vinaweza kuwasaidia maana sio wote wasio na connection.
 
Back
Top Bottom