Ramon Abbas
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 1,964
- 3,913
Mwenye pass ya kusafiria aniuzie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulisomea nini?Kichwa cha uzi chahusika, Kwa wale wenye uhitaji wa vyeti mimi ninavyo.
Nitakuuzia vyeti vyote kuanzia sekondar mpaka chuo ili visikusumbue kwenye matumizi yako.
Sifa ya vyeti,
O-level kina masomo 10 hakina F
A-level matatu (comb CBA) hakina F zaidi ya Bam
Degree ya Sua na Post graduate diploma in Education chuo St. John.
Bei ya vyeti vyote ni tsh 18,000,000
Tutawasiliana Pm mpaka tuonane nikukabidh mzigo nawe unipe hiyo pesa.
Hii ni baada ya kuona naenda off target na mahitaji ya serikali yangu kwa soko la ajira.
Kwa sasa napatikana Rufiji njoo tufanye biashara.
Mmh hamnaga kitu hakina ajira bana sema labda wakati sahihi haujafika tu usijali siku yaja🤔Shukuru umesomea kitu kimekupa ajira. Kuna midude ukisomea imekula kwako. Huna budi kujiongeza.
Huku kwenye chama vinahitajika vya darasa la 7 tu.Tafuta kada wa Chama cha mapinduzi mwenye nia ya kutangaza nia utauza tuuu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji28][emoji28]Anaetaka Mume ntampa wa kwangu bureeee, staki hata mia.
Stanii mimi
Haaahaaa[emoji16][emoji16]Nagawa cheti cha ndoa pamoja na mwanaume kwa anayetaka......
Tena nakupa mume kwanza ukihitaji na cheti baadaye nakupa bureHaaahaaa[emoji16][emoji16]
Hivi nyie mko serious
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Haahaa...hata simtaki, wangu mwenyewe pasua kichwaTena nakupa mume kwanza ukihitaji na cheti baadaye nakupa bure
Mweeh nawewe?[emoji849]Ukifanikiwa kumtoa wako nipe connection na mm tuutoe huu mzigo!
Haswaaa!
Ongeza Mume mwingine Sheria ishapitishwa na Mabeberu!!Nataka wenye kutaka ndoa wajaribu bahati yao na wao waone kama yaliyomo yamo.
Wengine tumechoka
Ma Bazaazii mmesha aanza!kasema anauza vyeti tu Jamani! Kwanza Sasa hivi Mzee wa vyeti fake hayupo,soon vyeti fake vitapanda tena thamani!!Mkuu vipi tako hauuzi
Muda si mrefu utamuuwa Baba Chanja wako! Masikini namuonea huruma mwenyewe hajui kua unamuwona Mzigo!!Ukifanikiwa kumtoa wako nipe connection na mm tuutoe huu mzigo!
Nimuue kwasababu gani? Unadhani mie mchaga..labda aniue yeye😅Muda si mrefu utamuuwa Baba Chanja wako! Masikini namuonea huruma mwenyewe hajui kua unamuwona Mzigo!!