Sipati ajira, sioni faida ya elimu yangu, naona bora kuuza vyeti

Picha za kwenye cheti ?
 
Kama vimeshindwa kukusaidia mwenyewe uliyevisotea, nani atakupa hela kwa gundu hilo? Kifupi pambana na hali yako, vyeti sio dili.
 
Hayo mawazo potofu,Kama hivyo vyeti havijakusaidia wewe unafikiri huyo atakayevinunua vitamsaidia nini? Halafu hiyo milioni kumi na nane inatoka tu kirahisu rahisi? Sema uko wapi tuone unafanyaje ili utoke.Usidharau elimu,elimu siyo vyeti Ni maarifa uliyoyapata.
 
Ujuzi ninao, sasa ili niufanyie kazi nahitaji mtaji ndo maana nikiuza vyeti hiyo pesa ndo itanidaidia.
Kuna wengine vinaweza kuwasaidia maana sio wote wasio na connection.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…