nicholasmari
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 630
- 583
Sema ww ndiyo ulimpenda, umesahau kuwa ndiye binadamu watu walisherekea alipokufa? Ht kifo cha jambazi hakijawahi kusherehekewaNdiye rais aliyetokea kupendwa kuliko marais walioongoza taifa hili ila kwa kuwa wewe una chuki binafsi juu yake utabisha.
Kwa upumbavu wako unaamini hilo lkn anabaki mioyoni mwa watanzania unafikiri wale watu 45 waliopoteza maisha wakimuomboleza 2021 walikuwa wanamlilia baba yako ?Labda we na ukoo wako ndo mliompenda. Kapiga risasi akina lisu na wengineo unataka na wampende tu.
Uraia wa Tanzania unagawiwa kama njuguMtu wa intelijensia aje atupe muongozo wa madhara ya kuwapa hao wachezaji uraia! Madhara kwanzia ma'5
Kwa faida ya wengi
Walikuwa vichaa kama wewe. Maguli aliweza kiwa fool wajinga wajinga na akaenda mbali akazuia vyombo vya habari visiandike chochote asichotaka yeye ili msione ufisadi wakeKwa upumbavu wako unaamini hilo lkn anabaki mioyoni mwa watanzania unafikiri wale watu 45 waliopoteza maisha wakimuomboleza 2021 walikuwa wanamlilia baba yako ?
Hao wachezaji wana potential ipi kwa nchi?Inategemeana na potentiality ya mtu. Unawezq kupewa uraia hata nfani ya lisaa limoja tu. Marekani ukienda unakipaji tu hurudi unapeq uraia instantly ndo mana marekani iko juu kiuchumi
Vipi mzee ni mhanga wa vyeti feki?Labda wewe na ukoo wako wenye fikra finyu ndo mliompenda. Kapiga risasi akina lisu na wengineo unataka na wampende tu.
Mi na weqw hatujui mana hatuko kwenye system ya kujua who is who.Hao wachezaji wana potential ipi kwa nchi?
Sasa Wezi na mafisadi na wenye vyeti feki na matepeli kwanini msisherekee?Sema ww ndiyo ulimpenda, umesahau kuwa ndiye binadamu watu walisherekea alipokufa? Ht kifo cha jambazi hakijawahi kusherehekewa
Mtakalia hayo hayo ya vyeti feki wakati hata yeye alikuwa na phd feki na akamlamba risasi ben saa nane aliyeuliza ufeki wa phd yake. Kama alikuwa serious mbona hakuingia jeshini kuna mazero barains kibao na wengi hawana vyeti. Haya Makonda je? Makonda alifoji mpaka jina mana anaitwa bashiteVipi mzee ni mhanga wa vyeti feki?
Mjinga ni wewe unayetaka kupambana na jina linalokuzidi uwezo unafikiri nyayo za tembo zinafutwa kwa ufagio ?Walikuwa vichaa kama wewe. Maguli aliweza kiwa fool wajinga wajinga na akaenda mbali akazuia vyombo vya habari visiandike chochote asichotaka yeye ili msione ufisadi wake
Jpm hiyu huyu wnasidi uwezo mimi!! Jpm alifanya kila mtu aone anaweza kuwa raisMjinga ni wewe unayetaka kupambana na jina linalokuzidi uwezo unafikiri nyayo za tembo zinafutwa kwa ufagio ?
Unachomzidi JPM ni kimoja tu umaikini wa ukoo wenu na kushinda nyuma ya keyboard..Jpm hiyu huyu wnasidi uwezo mimi!! Jpm alifanya kila mtu aone anaweza kuwa rais
Jpm alikuwa anapendqa na ma mbumbumbu. Hakuna mwenye akiri yake akapenda yule kichaa na limbukeni waadarakaUnachomzidi JPM ni kimoja tu umaikini wa ukoo wenu na kushinda nyuma ya keyboard..
Nchi Kama Kenya watu wanapigania Taifa individualy Bongo anategemewa mtu, na hii ndio tatizoNaiona Kama ni skendo inayo hitaji kutazamwa vizuri, watu tayari wangekuwa wamesha tumbuliwa, kuanzia Mawaziri hadi Makatibu, sasa hivi kungekuwa kumesha changamka muuuuda! Mtu ana wiki 2 Bongo kupewa uraia, hiiiii!
90% ya Watanzania ni mbumbumbu...maana ndio waliomsapoti 10% mliobaki vyeti feki na zao la majizi msingependa uongozi wake.Jpm alikuwa anapendqa na ma mbumbumbu. Hakuna mwenye akiri yake akapenda yule kichaa na limbukeni waadaraka
Tutajie nchi moja na mchezaji mmoja tu ambae amepewa uraia wa nchi baada ya wiki mbili tu. Na kwa nini kila kinachofanyika ulaya ndio na sisi tuige? Tutawacha lini mentality ile ya mavi ya mzungu hayanuki!!!!!?Kwa hiyo magufuli yeyr alikuwa hataki nchi yake kusonga mbele kimichezo kabisa? Ulaya wakikuona we ni potential unapewa uraia fasta
Njoo mjini huku palipo na wasomi wanojua kua analyse mambo uone wanavyomponda. Saaa mbumbumbu anaelewa nini zaidi ya kula kulala na kufurahia aliuetumbuliwa ili wafanane90% ya Watanzania ni mbumbumbu...maana ndio waliomsapoti 10% mliobaki vyeti feki na zao la majizi msingependa uongozi wake.
Vinecious juniour wa real madridTutajie nchi moja na mchezaji mmoja tu ambae amepewa uraia wa nchi baada ya wiki mbili tu. Na kwa nini kila kinachofanyika ulaya ndio na sisi tuige? Tutawacha lini mentality ile ya mavi ya mzungu hayanuki!!!!!?
Ngoja waje wamiliki mapande ya ardhi Tz nchi ya hovyo sana ila ile ni bortion bwana sio kweliNaiona Kama ni skendo inayo hitaji kutazamwa vizuri, watu tayari wangekuwa wamesha tumbuliwa, kuanzia Mawaziri hadi Makatibu, sasa hivi kungekuwa kumesha changamka muuuuda! Mtu ana wiki 2 Bongo kupewa uraia, hiiiii!