mtanzania in exile
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 1,379
- 1,276
chai!!!!!!! Hakuna hata mmoja ambae amewasili USA within one hour akapewa uraia papo hapo. Infact katika nchi ambayo inachukuwa muda mrefu kumpa mtu uraia ni USA. Wanafanya background check ya kikwelikweli. Kumbuka kuna tafauti kubwa baina ya green card na citizenship (uraia).Inategemeana na potentiality ya mtu. Unawezq kupewa uraia hata nfani ya lisaa limoja tu. Marekani ukienda unakipaji tu hurudi unapeq uraia instantly ndo mana marekani iko juu kiuchumi
Acha walambe asali ya mama wa kizanzibari.Naiona Kama ni skendo inayo hitaji kutazamwa vizuri, watu tayari wangekuwa wamesha tumbuliwa, kuanzia Mawaziri hadi Makatibu, sasa hivi kungekuwa kumesha changamka muuuuda! Mtu ana wiki 2 Bongo kupewa uraia, hiiiii!
Potentiality ya mtu. Nendachai!!!!!!! Hakuna hata mmoja ambae amewasili USA within one hour akapewa uraia papo hapo. Infact katika nchi ambayo inachukuwa muda mrefu kumpa mtu uraia ni USA. Wanafanya background check ya kikwelikweli. Kumbuka kuna tafauti kubwa baina ya green card na citizenship (uraia).
Sio kweli, O-1 Visa inachukua miezi kuanzia 6 na bado iko kwenye kundi la non immigrant visa, ukitaka kuibadili itachukua miaka mingine 3 nakuendelea isipokuwa kama uta opt kujiunga na jeshi.Inategemeana na potentiality ya mtu. Unawezq kupewa uraia hata nfani ya lisaa limoja tu. Marekani ukienda unakipaji tu hurudi unapeq uraia instantly ndo mana marekani iko juu kiuchumi
Sio kweli, O-1 Visa inachukua miezi kuanzia 6 na bado iko kwenye kundi la non immigrant visa, ukitaka kuibadili itachukua miaka mingine 3 nakuendelea isipokuwa kama uta opt kujiunga na jeshi.Inategemeana na potentiality ya mtu. Unawezq kupewa uraia hata nfani ya lisaa limoja tu. Marekani ukienda unakipaji tu hurudi unapeq uraia instantly ndo mana marekani iko juu kiuchumi
Unasema mjini kuna wasomi wale walikufa uwanja wa taifa wakiomboleza na wale walivunja uzio wa Airport wakigombea kuifuata ndege iliyobeba mwili wake walitokea kijijini Kazuramimba, Chato ama Kamsamba ?Njoo mjini huku palipo na wasomi wanojua kua analyse mambo uone wanavyomponda. Saaa mbumbumbu anaelewa nini zaidi ya kula kulala na kufurahia aliuetumbuliwa ili wafanane
Kumbuka katiba yetu siyo sawa na marekani. Huku kwetu rais ni Mungu mtu anaweza kuagiza hata wewe uchinjwe usiku huu wala hakuna mtu wa kumuuliza bali utekelezaji tu. Rais anaweza kukufukuza usiku huu na usikanyage tena nchini japo umezaliwa hapa. Ndo mana tunawaambia tuingie barabarani kudai katiba mpya hamtaki kisa elimu zenu ni finyu sana kujua mambo kwa mapanaSio kweli, O-1 Visa inachukua miezi kuanzia 6 na bado iko kwenye kundi la non immigrant visa, ukitaka kuibadili itachukua miaka mingine 3 nakuendelea isipokuwa kama uta opt kujiunga na jeshi.
Wana VISA ya wawekezaji ambayo ni immigrant na hiyo ndiyo unaweza kuipata ndani ya mwaka 1 ikiwa utafanya uwekezaji wenye thamani ya dola milioni 1 na kuajiri wazawa au green card holders 10 nakuendelea.
Acha kupotosha watu.
Wote wanatoka huko vijinini kwenu na hawajui chochote maskini zaidi ya kula kulala na kusajili line mtaaniUnasema mjini kuna wasomi wale walikufa uwanja wa taifa wakiomboleza na wale walivunja uzio wa Airport wakigombea kuifuata ndege iliyobeba mwili wake walitokea kijijini Kazuramimba, Chato ama Kamsamba ?
OMG Kwanza anaitwa Vinicius na sio Vinnecious na imemchukua miaka miwili kukamilisha tests zinazohitajika kabla ya kupewa uraia wa spain. Aliingia spain 2018 na ilimchukua hadi 2020 kukamilisha masharti ya mitihani ya kuwa raia wa spain, na ilichukua miaka mingine miwili kabla ya kuweza kula kiapo na kuwa raia kamili wa spain. Bado nangoja jina la mtu aliepewa uraia wa nchi baada ya wiki mbili!!!!!Vinecious juniour wa real madrid
Baadhi ya watanzania uwa tunajiona kama special flan hivi,ndio maana hata huko juu hasa ccm hawataki kabisa kusikia suala la dual citizenBotswana tu hapo kuna madaktari wetu bingwa kibao wamepewa uraia.
Sheria zipo ila exceptions pia zipo.
NoOMG
OMG Kwanza anaitwa Vinicius na sio Vinnecious na imemchukua miaka miwili kukamilisha tests zinazohitajika kabla ya kupewa uraia wa spain. Aliingia spain 2018 na ilimchukua hadi 2020 kukamilisha masharti ya mitihani ya kuwa raia wa spain, na ilichukua miaka mingine miwili kabla ya kuweza kula kiapo na kuwa raia kamili wa spain. Bado nangoja jina la mtu aliepewa uraia wa nchi baada ya wiki mbili!!!!!
Kwani Kibu wakati anagombewa na Yanga na Simba Raisi alikuwa nani.Naiona Kama ni skendo inayo hitaji kutazamwa vizuri, watu tayari wangekuwa wamesha tumbuliwa, kuanzia Mawaziri hadi Makatibu, sasa hivi kungekuwa kumesha changamka muuuuda! Mtu ana wiki 2 Bongo kupewa uraia, hiiiii!
Asante msomi unayeshinda nyuma ya keyboard ukimpambania Mama yako.. unayetegemea fadhila za watawala kwenda chooni.. peleka hesabu uchawa ulizofanya leo uipwe uende banda la chipsi ukale ..maana Mama yenu alisema kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake nawe kula malipo ya uchawa wako..Wote wanatoka huko vijinini kwenu na hawajui chochote maskini zaidi ya kula kulala na kusajili line mtaani
Lazima kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake. Kama we ni mwalimu kula mshahara wako, kama we ni daktari kula mshahara wako na siyo wa mingineAsante msomi unayeshinda nyuma ya keyboard ukimpambania Mama yako.. unayetegemea fadhila za watawala kwenda chooni.. peleka hesabu uchawa ulizofanya leo uipwe uende banda la chipsi ukale ..maana Mama yenu alisema kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake nawe kula malipo ya uchawa wako..
Pole sana mkuu sema ndo hivyo maisha sio ajira tu najua utakuwa ushapata issue ya kufanya sema issue za forgery ni jinai angekuwa katiri zaidi mngefungwaMtakalia hayo hayo ya vyeti feki wakati hata yeye alikuwa na phd feki na akamlamba risasi ben saa nane aliyeuliza ufeki wa phd yake. Kama alikuwa serious mbona hakuingia jeshini kuna mazero barains kibao na wengi hawana vyeti. Haya Makonda je? Makonda alifoji mpaka jina mana anaitwa bashite
Kama wewe unavyokula mshahara wa uchawa ! lakini tambua uchawa ni kuhamisha ufikiri kichwani na kuhamisha tumboni..Lazima kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake. Kama we ni mwalimu kula mshahara wako, kama we ni daktari kula mshahara wako na siyo wa mingine
OkayKama wewe unavyokula mshahara wa uchawa ! lakini tambua uchawa ni kuhamisha ufikiri kichwani na kuhamisha tumboni..
Kwahiyo, sisi akili zetu ni makopo tunaiga Ulaya??Kwa hiyo magufuli yeyr alikuwa hataki nchi yake kusonga mbele kimichezo kabisa? Ulaya wakikuona we ni potential unapewa uraia fasta