Sipati Picha Kama Hili La Wachezaji Wa Singida BS Kupewa Uraia, Kama Rais Angekuwa Magufuli?

Sisi sisi waafrica ni watu? Si ni manyani tu. We angalia jpm alivyotaka kumuua lisu kisa akili alizonazo tu kwake ikawa kero
 
Kwani muongozo wa uraia wa Tanzania unasemaje? Kuna muongozo? Na je hizi taratibu zimefuata muongozo, kama hazijafuata ni Batili.
 
Naiona Kama ni skendo inayo hitaji kutazamwa vizuri, watu tayari wangekuwa wamesha tumbuliwa, kuanzia Mawaziri hadi Makatibu, sasa hivi kungekuwa kumesha changamka muuuuda! Mtu ana wiki 2 Bongo kupewa uraia, hiiiii!
kwani kosa liko wapi? watu wameomba uraia wenyewe kuna ubaya gani,mbona kibu alipewa
 
je aliomba? huyo profesa?
 
Inategemea na potentiality ya mtu. Rais ndo mwenye nchi anaweza kukupa bila kufata utaratibu. Rais ni mwenye nchi anaweza kukufukuza hata wewe japo umezaliwa hapa
Akikufukuza unaenda nchi gani kwa mfano.
Na hiyo ni sheria ya mwaka gani mkuu?.
Sasa Wezi na mafisadi na wenye vyeti feki na matepeli kwanini msisherekee?
 
Akikufukuza unaenda nchi gani kwa mfano.
Na hiyo ni sheria ya mwaka gani mkuu?.
Rais amepewa mamlaka ya kufukuza yeyote anayeona no threat kwake au nchi. Hata mkuu wa mkoa tu anawesa kukufukuza mkoani sikuone kabisa. Kumbuka kuna kipindi Bashite alitaka kuwafukuza akina mbowe dar
 
Akikufukuza unaenda nchi gani kwa mfano.
Na hiyo ni sheria ya mwaka gani mkuu?.
hapana huyo hajui sheria,uraia unaomba uhamiaji na wana taratibu zao ambazo muombaji anatakiwa kuzifata,na hao wachezaji wa singida walianza taratibu hizo mwaka jana,rais hawezi kukufukuza ila atawaambia uhamiaji wenye hayo mamlaka
 
je aliomba? huyo profesa?
Inaonesha alipewa uraia ila siyo wa Vodafasta.

Para ya mwisho:👇

"Cha kusikitisha ni kwamba Prof. Mkhululi hakuwahi kupewa pasi yake ya kusafiria ya Tanzania ambayo alikuwa ameomba hadi kifo chake tarehe 18 Machi 2009. Alizikwa katika jiji la Arusha nchini Tanzania katika sherehe ya maziko ambayo iliendeshwa kwa mujibu wa kanuni za Kanisa la Othodoksi la Ethiopia."
 
Inategemea na potentiality ya mtu. Rais ndo mwenye nchi anaweza kukupa bila kufata utaratibu. Rais ni mwenye nchi anaweza kukufukuza hata wewe japo umezaliwa hapa
Kukosekana kwa elimu ya uraia ni moja ya vikwazo vikubwa kwa maendeleo ya nchi yetu. Hiki kilichoandikwa hapa ni kiashiria cha wananchi kutokujua wajibu na haki zao kama raia
 
Ni kawaida haya mambo na yanatotekea kwenye nchi nyingi tu
Nakumbuka hata Qatar ukiwa mkimbiaji mzuri ukashinda unapewa uraia haraka tu
Nimetoa mfano huo maana hao wa Gulf kutoa uraia ni kazi sana ila likija suala la Riyadha hawana jinsi na hao ni vijana kutoka Africa
 
Kwa hiyo magufuli yeyr alikuwa hataki nchi yake kusonga mbele kimichezo kabisa? Ulaya wakikuona we ni potential unapewa uraia fasta
Hao wachezaji wana Potential gani? Uyo Kayeke pale Dimba la kati hawezi kuanza mbele ya Kagoma, Mtesigwa, Bajana, Mzamiru na wengine wengi.

Suala la uraia kwa hao wachezaji limefanywa kwa interest za mtu mmoja na sio faida za nchi. They have nothing to add kwenye national team yetu. Bora hata wangeshawishi watu kama Pakome au Chama..
Kwenye dili hilo, kuna mtu anakwepa kodi kiaina.
 
ok
 
Inategemeana na potentiality ya mtu. Unawezq kupewa uraia hata nfani ya lisaa limoja tu. Marekani ukienda unakipaji tu hurudi unapeq uraia instantly ndo mana marekani iko juu kiuchumi
Rais Donald Trump amesaini sheria (presidential decrees) kadhaa zikiwemo zinazohusiana na wanaoitwa wahamiaji haramu na haki ya uraia wa kuzaliwa kwa watoto wa raia wa kigeni wanaozaliwa nchini Marekani. Sheria hizo zinazotakiwa zianze kutumika kuanzia 19/2/25 zimeshazua mtafaruku mkubwa nchini humo na tayari majimbo 22 yameenda mahakamani kuzipinga.
 
Inategemea na potentiality ya mtu. Rais ndo mwenye nchi anaweza kukupa bila kufata utaratibu. Rais ni mwenye nchi anaweza kukufukuza hata wewe japo umezaliwa hapa
Kwa mfano Leo ukifukuzwa na Rais utaenda nchi gani?
Kwa uo ukilaza ulionao unahaki ya kumchukia magufuli
 
Na yule raia wa Mali aliyemuokoa mtoto kwenye lile ghorofa na kupewa uraia pamoja na kazi katika jeshi la Zimamoto alitumia muda gani?

Huamini kama kwenye baadhi ya scenerio kuna exceptions?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…