witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Yes yes we unamjua kabisa!...ulivyotaja afya ndo nikaamini unamjua!Sikuwa najua. Kama ndiye mmiliki wa Landmark hotel basi jamaa ni mfanyabiashara makini sana. Niliwahi kuonyeshwa huyo Sauli mwaka juzi nikiwa maeneo ya Riverside pale. Dhaifu kinyama. Sijui alikuwa ana matatizo gani.
Niliambiwa anamiliki lodges nyingi sana hapa town na Morogoro. Hata pale Riverside upande wa pili ipo moja Ila jina nimelisahau.
Wema Sinza kumbe kitambo duh!
Huyo mbabu mtu mzima sana sema hela, na huu mji maslay queen wameipata pata fresh
Havumi huyu mkinga lkn yumoo
Sent using Jamii Forums mobile app