Sipati picha Nancy Sumari angekuwa na MB Doggy hivi sasa...

Sipati picha Nancy Sumari angekuwa na MB Doggy hivi sasa...

Sikuwa najua. Kama ndiye mmiliki wa Landmark hotel basi jamaa ni mfanyabiashara makini sana. Niliwahi kuonyeshwa huyo Sauli mwaka juzi nikiwa maeneo ya Riverside pale. Dhaifu kinyama. Sijui alikuwa ana matatizo gani.

Niliambiwa anamiliki lodges nyingi sana hapa town na Morogoro. Hata pale Riverside upande wa pili ipo moja Ila jina nimelisahau.

Wema Sinza kumbe kitambo duh!
Yes yes we unamjua kabisa!...ulivyotaja afya ndo nikaamini unamjua!

Huyo mbabu mtu mzima sana sema hela, na huu mji maslay queen wameipata pata fresh

Havumi huyu mkinga lkn yumoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes yes we unamjua kabisa!...ulivyotaja afya ndo nikaamini unamjua!

Huyo mbabu mtu mzima sana sema hela, na huu mji maslay queen wameipata pata

Havumi huyu mkinga lkn yumoo

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahaha. Ulidhani natunga mkuu? Mastory ya town tunayapata mengi sema tunakaushaga tu maana hayatuhusu.
 
Mume aliyeko naye huyu nancy alikuwa ni mchumba wa dada yake alipokosa ramani ikabidi amseduce mchumba wadadae na ndiye aliyesababisha nakaaya kuhama nchi nakuolewa na mzungu.
Nancy has bad manner i hate her so much kama nini kwenye group lao nafuu faraja sio snitch na bitch kelyn kachukua mume wamtu mengi .
So they are worst people i hate them more than anyone else how could you betrayed your own blood?
How tell me?
How will you feel to live with your sister fianceee shame shame shame on you nancy where your shame on u.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ukiamua unaandika vizur au hapa ulikua huna haraka
 
Na wako vzr hata kitaaluma nafikiri ndo maana imesimama tofauti na St.Mary's
Yes...acha tu uzuri, pale kuna walimu wako very strictly!

Hakuna ujinga ujinga wa madenti wa pale kuzurura zurura kwenye mabar kama shule zingine, ukizingatia huo mtaa kuna utitiri wa bar nyama choma choma kwa kwenda mbele...

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom