E and E
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 1,126
- 985
Mb dog na ufupi ulichangia kupigwa chini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mb dog na ufupi ulichangia kupigwa chini
Lucas asingekuwepo.
Lazma amuwezeshe jamaa kinyume chake jamaa anatishia kurudi kwa mkewe Luka ushuzi mtupuNilishawahi kusikia kitu kama hiki Tena kwa shostisto wake kuwa Mrs few ndo anasponsa ile family[emoji849][emoji849]...
Jamaa lkn si ana kampuni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ulipotilia mkazo kwa herufi kubwa pamenichanganyanimejikuta naikumbuka siku niliyokutana na vee money pale city mall azizi house of jeans
ni kafupi hakana nyama... yani kadogoooo sema tu kapo sexy and she got class....
she is super classy na hyo class ndio inafukia mapungufu yote IUKWIM
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!jamaa kala wote wawili!Luca alikua anatoka na Nakaaya,Nancy akaja kumpindua Dada yake live kabisaa na akaolewa....!!!
Ilifka kipindi walikua hawaongei wale ndugu hata harusi ya Nancy na Luca Nakaaya alikua km mgeni mualikwa tu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama wa brevis kama nakuona vile ulivyotoa macho kusikia anasukuma kibaby walker
Kumbee !! Unashinda huku, ndio maana kule siasani na habari mchanganyiko sikuoni. Nitaanza kushinda huku.Kiasi. Ahsante
Kampuni bongo5? Inaingiza nini ile anazidiwa hata na millard ayoNilishawahi kusikia kitu kama hiki Tena kwa shostisto wake kuwa Mrs few ndo anasponsa ile family[emoji849][emoji849]...
Jamaa lkn si ana kampuni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bebi hujambo, twende kanisaniKumbee !! Unashinda huku, ndio maana kule siasani na habari mchanganyiko sikuoni. Nitaanza kushinda huku.
nasikia mzee alitaka ajiweke hapo ila ikashindikana kutokana na sababu moja mbili tatu ya kwanza ikiwa baba jokate
street has it kuwa hata rum hakuwahi kuingia naye
Sent using Jamii Forums mobile app
yah mshua wake naskia alimuendea hadi hewan mzee few...
kaone vilevile kadada mambo mengi kale isingikuwa familia yake kuwa watu wasiopenda skendo basi jokate angekuwa ana make headlines sanaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Nancy naye roho mbaya ilimzidi
View attachment 1046329
Sipati picha sasa hivi wangekuwa wapo uswazi kwao mitaa ya mabibo, Nancy mwenyekiti wa vicoba pande hizo.
Ahsante!!!!Weeee hacha kutudanganyana hakuingia na room ? Wakati jokate ameenza kutoka na Mzee mengi tangu tupo Chuo, pika nipakue
Na Mimi najua hii ndo sababu alimtema !!!!ya kutokutuliaJokate mwenyewe anasema uwa anapenda watu Wazima,kwani akiwa anaenda kufanyw. Familia yake inamsindikiza? Alipigwa chini tu na Mzee mengi baada ya kutumika sana kwa kua hajatulia
Kuna kipindi walifulia mpk gesi ndani iliisha wakawa wanapikia mkaaa!!!umbea huu nilipata hukooo[emoji23][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji16]nilicheka balaaaaNilishawahi kusikia kitu kama hiki Tena kwa shostisto wake kuwa Mrs few ndo anasponsa ile family[emoji849][emoji849]...
Jamaa lkn si ana kampuni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona jamaa sasa kawa marioo wa kihindi?[emoji849][emoji16]Lazma amuwezeshe jamaa kinyume chake jamaa anatishia kurudi kwa mkewe Luka ushuzi mtupu