Sipati picha Nancy Sumari angekuwa na MB Doggy hivi sasa...

Sipati picha Nancy Sumari angekuwa na MB Doggy hivi sasa...

Daaah Faraja yule mtoto hua namuelewa sana anafanana na kidem kimoja nlisoma nacho chuo nlifukuzia miaka miwili mpk nakaacha mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nasikia mzee alitaka ajiweke hapo ila ikashindikana kutokana na sababu moja mbili tatu ya kwanza ikiwa baba jokate

street has it kuwa hata rum hakuwahi kuingia naye

Sent using Jamii Forums mobile app


Weeee hacha kutudanganyana hakuingia na room ? Wakati jokate ameenza kutoka na Mzee mengi tangu tupo Chuo, pika nipakue
 
yah mshua wake naskia alimuendea hadi hewan mzee few...

kaone vilevile kadada mambo mengi kale isingikuwa familia yake kuwa watu wasiopenda skendo basi jokate angekuwa ana make headlines sanaaaa



Sent using Jamii Forums mobile app

Jokate mwenyewe anasema uwa anapenda watu Wazima,kwani akiwa anaenda kufanyw. Familia yake inamsindikiza? Alipigwa chini tu na Mzee mengi baada ya kutumika sana kwa kua hajatulia
 
Nilishawahi kusikia kitu kama hiki Tena kwa shostisto wake kuwa Mrs few ndo anasponsa ile family[emoji849][emoji849]...

Jamaa lkn si ana kampuni?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kipindi walifulia mpk gesi ndani iliisha wakawa wanapikia mkaaa!!!umbea huu nilipata hukooo[emoji23][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji16]nilicheka balaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom