Ashampoo burning
JF-Expert Member
- May 12, 2023
- 593
- 2,219
- Thread starter
- #21
Nimeweka video yaani wapiga tarumbeta nao wako vizuri yaani mbe mbee mbeeeeeeeee...... afu wanaruka hadi raha .....hii band ilikuwa balaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Piter tosh, senzo, Alfa blonde , lucky dube, bob Marley. Vaa zako jeans ikae vizur, vaa kiatu ambacho ukikanyaga brake kidogo unasikia, vaa SAA yako isoyopetza majira, Chukua gari Kali yoyote made in Europe,(speed 260 huko), Kula MATUNDA yakutosha na grand Malta, afu Anza Safar Dar-KIGOMA, safari uanze SAA mbili usiku, usibebe umpendae beba walevi ,utafika Kigoma Kwa Massa Tisa Tu. RAGGAE IN THE BIRTH ROOM, IN CHURCH ,RAGEA IN EVERY WHERE, ....BOb na Lucky kwenye reggae ni kama Bongo na Sauz kwenye amapiano.
Kuna muanzilishi /Legend (Bob) halaf akaja mwamba akaigeuza geuza akaipindulia mbali akaibinafsisha iwe yake.Huyo ndio Luck Dube,
Back to my roots hiyo ni ngoma zaid ya hatar.
Leo hii unaweza sema Amapiano ni ya wabongo, hata wasauzi wanabak wanashangaa nin hiki kimetokea 😂
| Follow Lucky Dube on Bandsintown |
Hujawatendea haki, hujawataja kuwa ni partly wanachama wa chama chetu na partly oppositionWe balaaa afu inakuja waimbaji raggae is mine raggae is mine ragge is mine yeyeyeyey
Yaani nyimbo inaitwa back to my roots
Humu kuna mpiga ngoma alijipanga sana yaani ana dunda unasikilizia moyoni
Yaani zile ngoma na gitaa balaa,
Hebuu vaa earphone afu sikiliza twatwaaaa twaa gitaa linajibu ndi ndi ndiiiiii ...... tarumbeta mbeeee mbeeeeee mbeee .. ngoma twatwatwa twaaaaa.
We balaaa afu inakuja waimbaji raggae is mine raggae is mine ragge is mine yeyeyeyey
Balaaa sana
View: https://youtu.be/hh_BHfq70ok?si=CN2s9-3IbJY6lpji

Mziki wa Lucky Dube ni Mwepesi na unaeleweka kwa Hadhira yake kisawa sawa.Sema kipindi anaimba lucky utandawazi ulikuwa mkubwa sana ndio maana huyu mwamba anaonekana bora sana,lkn bob alikuwa mkali kwa,wakati wake
Acha hiyo..." Mirror Mirro"Kuna Born to suffer
Reggae ya Lucky Dube hata haieleweki kama ni Roots Reggae, Sweet Reggae, Rub a Dub Reggae, Rocksteady au nini.BOb na Lucky kwenye reggae ni kama Bongo na Sauz kwenye amapiano.
Kuna muanzilishi /Legend (Bob) halaf akaja mwamba akaigeuza geuza akaipindulia mbali akaibinafsisha iwe yake.Huyo ndio Luck Dube,
Back to my roots hiyo ni ngoma zaid ya hatar.
Leo hii unaweza sema Amapiano ni ya wabongo, hata wasauzi wanabak wanashangaa nin hiki kimetokea 😂
We wa miaka gani? Utakuwa dogo wa moshi. Lucky dube huwezi mfananisha na mfalme bob.Watakuja hapa Bob Marley fanboys wakupige ngumi 🤡
Hit songs Bob hamfikii hata kidogo Lucky
Jamaa aliimba kama Mwinjilist au Nabii ktk nyanja mbali Mbaliujue nimecheka sana, hivyo vyombo ulivhokua unavipiga
back to the topic, namkubali Lucky kuliko hata huyo Bob. naipenda sana
Remember me
prisoner
slave
Ndio tunachoipendeaReggae ya Lucky Dube hata haieleweki kama ni Roots Reggae, Sweet Reggae, Rub a Dub Reggae, Rocksteady au nini.
Wengine wanasema imejaa vinanda vingi kama kwaya tu.
What have you Done Tel me Mr Taxman.Leo nilikua nasikiliza wimbo wa Tax man toka kwa lucky dube. Anaongelea mifumo inavyitukandamiza kwenye kodi nilibaki nacheka kwa kilichonitokea Tra
Bob Naona ndio ana ngoma ngum hata hazieleweki mara Trench Town, Rocky, Simlicity, nimejitahidi kumzoea lakini Bado.Dah lucky dube ana ngoma kadhaa tamu sana... Ila Nesta Marley huyu mjomba hakuwa wa Dunia hii.... Ngoja niplay zangu punky Raggae Party
Acha kumfananisha Legendary Robert Nesta Marley King of Reggae na huyo muimba kwaya,Watakuja hapa Bob Marley fanboys wakupige ngumi 🤡
Hit songs Bob hamfikii hata kidogo Lucky
We una mahaba tuAcha kumfananisha Legendary Robert Nesta Marley King of Reggae na huyo muimba kwaya,
Hii mada tumeshaijadili sana humu.
Music is subjective.Ndio tunachoipendea