Sipendagi muziki wa Reggae ila Lucky Dube alikuwa mnyama

Sipendagi muziki wa Reggae ila Lucky Dube alikuwa mnyama

Watakuja hapa Bob Marley fanboys wakupige ngumi 🤔

Hit songs Bob hamfikii hata kidogo Lucky
Kimbembe ni pale Bob ana nyimbo nyingi na amerecord sehemu tofauti tofauti (atajikuta hit songs nyingi kuliko DUBE). ila huo wimbo wa Dube ni balaa
 
Back
Top Bottom