Sipendagi muziki wa Reggae ila Lucky Dube alikuwa mnyama

Sipendagi muziki wa Reggae ila Lucky Dube alikuwa mnyama

Hahaha......sawa Kiranga mi nakuheshimu sana sitaki ugomvi na wewe.
Si suala la heshima wala ugomvi.

Kuna wakati ni muhimu tukubaliane kwamba suala hili halina jibu moja.

Mara nyingi tunashindana kwa style ya "muwamba ngoma huvutia kwake", kwa kulazimisha upande wetu uwe ndio sawa, kweli, etc.

Hatuwezi kusema "mimi naona hivi, lakini hili suala halina jibu moja kwa hivyo mtu mwingine anaweza kuwa na jibu tofauti na yeye akawa sawa tu"
 
Sahihi
 
I don’t wanna wait in vain for your love…

Bob hana kazi mbovu. Katika ngoma zote ile Exodus ina vyombo vya moto sana, kila nikiisikiliza nakumbuka home sweet home Moshi.
Wakati wa Uhuru wa Zimbabwe mwaka 1980, Bob Marley aliimba mbele ya Prince Charles(wakati huo) -sasa ni King Charles wa tatu kuwa "We gonna fight for our destination and liberate Zimbabwe"

View: https://www.youtube.com/watch?v=RFLG6CH2KBY
 
Acha kumfananisha Legendary Robert Nesta Marley King of Reggae na huyo muimba kwaya,

Hii mada tumeshaijadili sana humu.
Mi nikiona mtu analeta ubishi juu ya Bob Marley na Lucky huwa nakaa kimya tu, naona kabisa hana anachokijua.

Bob usipokaa vizuri unaweza kukufuru ukamuita Nabii, yule jamaa balaa lake sio mchezo.
Apumzike kwa amani.
 
Watoto wadogo hawezi kumuelewa kabisa ... Inahutaji mindset flani hisi na hisia flani.... Af ana ngoma za kila aina sijui za kuinjoy.. za kuelimisha.. za huzuni yani kakava kila idara
Wimbo wangu bora wa Bob Marley ni Africa Unite, alikuwa na uchungu sana kwa sisi Waafrika kuamka na kusimama wenyewe.
 
Wimbo wangu bora wa Bob Marley ni African Unite, alikuwa na uchungu sana kwa sisi Waafrika kuamka na kusimama wenyewe.
Yap Umetulia sana... Mi naikubali moja adimu sana inaitwa Chance are..... Sababu wakati naiskia kwa mara ya kwanza nilikua napitia kipindi flani hivi kigumu so Ile nyimbo ikanigusa sana Iko deep mno
 
Hata sisi wa Moshi tuliokuzwa na reggae tunajua mfalme ni Bob.
NImemshangaa huyu dogo. Anamfananisha Lucky Dube na Robest Nesta Marley na kusema Dube ni bora. Katakuwa kamezaliwa miaka ya 2000s haka kadogo. Hakaujui music wa Reggae
 
Nilisema Bob fanboys watakuja kuwaka humu.

Tajeni hitsongs za Bob na zitajwe hitsongs za Lucky ili mfalme wa hitsongs ajulikane hapa
 
Nilisema Bob fanboys watakuja kuwaka humu.

Tajeni hitsongs za Bob na zitajwe hitsongs za Lucky ili mfalme wa hitsongs ajulikane hapa
Mfalme anajulikana tayari Worldwide,mfalme hawezi kupatikana hapa JamiiForums mfalme kishapatikana official.

Kuna link huko juu nimetuma,huyo muimba kwaya ya vinanda hawezi kufanananishwa na King of Reggae Marley,Lucky Dube hata kwa Ziggy Marley tu anasubiri.
 
Back
Top Bottom