ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Sikua najua kama kuna mapenzi ya usiku wa mananeKwahiyo wewe mapenzi ya asubuhi ulikuwa unayaitaje hapo mwanzo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikua najua kama kuna mapenzi ya usiku wa mananeKwahiyo wewe mapenzi ya asubuhi ulikuwa unayaitaje hapo mwanzo?
Sasa Mtu anaitwa towashi wa kushi imekuwaje ajue mambo ya morning glory bwana?towash wa kush ilihasiwa Ili kumtumikia bwana,huyu towash wa mchongo atatudanganya😁
Hahaha wewe ulijua mapenzi yanafanywa in a specific time?Sikua najua kama kuna mapenzi ya usiku wa manane
🤣🤣🤣🤣🤣Sasa Mtu anaitwa towashi wa kushi imekuwaje ajue mambo ya morning glory bwana?towash wa kush ilihasiwa Ili kumtumikia bwana,huyu towash wa mchongo atatudanganya😁
Hamna kulana mate,Hivi MGlory huwa mnakulana mate? Nataman sana kujua
Sawa.Kama huna stamina ni wewe! Mwenzako kashasema 2 hours😂
MmmmhKweli nakwambia 2 years sikumbuki hata hilo tendo linafananaje🤸
Unataka kuniambia hujawahi kuwa na hisia na partner wako at dawn hours au hasubuhi kabisa mpaka kupelekwa kuanza kumchokoza chokoza?🤔My people how's weekend?
Yangu iko poa sana, nimechill pande za Kigamboni napata upepo wa bahari.
Sasa mambo yasiwe mengi, natamani kujua mitazamo ya wengine kwenye hili suala linalonichanganya akili, ni hivi.. Kwenye suala zima la kufanya mapenzi binafsi napenda sana kufanya mapenzi kuanzia saa 1900-0200, kinyuma na hapo kwangu najioneaga kero tu, sababu hasa za kupenda mida hii mnakuwa mna energy ya story, kama mnakunywa mmepiga vitu vyenu, mmeoga vizuri yaani ni hearts all over the room..
Sasa basi hamna kitu kinaniudhi mida ya alfajiri nistushwe na kitu kimesimama halafu navutwavutwa kweli huwa nachukia, mida ya alfajiri usingizi ni mtamu mnooo jamani, mswaki hamjapiga, mara hamjaoga aah mi nampa tu huku nimefumba macho bhana atajua yeye😒😒.... wenzangu vipi mnapenda ka morning glory?
Hongera kwa akili yako ya kiudadisi na mazingira uliyokulia mpaka kukaa vibarazani na majirani watakuamini hao unaowajua wewe humu😆😆
😀😃😄😁😆Sasa Mtu anaitwa towashi wa kushi imekuwaje ajue mambo ya morning glory bwana?towash wa kush ilihasiwa Ili kumtumikia bwana,huyu towash wa mchongo atatudanganya😁
Unaumwa kifua? Mbona unagunaMmmmh
Mkuu mazingira niliyokulia unayajua?Hongera kwa akili yako ya kiudadisi na mazingira uliyokulia mpaka kukaa vibarazani na majirani watakuamini hao unaowajua wewe humu😆😆
Usinisingizie, ishnakitu unatakiwa kuwa junior expert 😅
NdioUnaumwa kifua? Mbona unaguna
Mimi ni senior member🤸U
Usinisingizie, ishnakitu unatakiwa kuwa junior expert 😅
Unajua chukuchuku? Hakuna romance wala foreplay, kila mtu kaandaliwa na nature😅Hivi MGlory huwa mnakulana mate? Nataman sana kujua
Basi utaalam unao, ni swala la lini na wapi. Unajua nyie ambao bado kuhalalishwa inakuwa process ndefu, yaani michakato😅Mimi ni senior member🤸