Sipendi na sitaki ukaribu wala shobo na wanawake wenye vijitabia vya feminism

Unachosema ni kuwa mwanaume imara haogopi mwanamke imara ,
Mtoa mada hoja yake ni kuwa hakuna haja ya kuonyesha uimara kwenye maswala ya mahusiano!!
Theodory roosevelt , aliwahi sema' speak softly but carry a big stick. Hatua ya kutunishiana misuli na mwanamke ili ajue kuwa wewe ni kidume ndo watu hatuzitaki. By default mwanamkw anatakiwa ajue mwanaume ni mtawala , nothing more or less and this is unnegottiable!
 
niweze kuoa wawili nishindwe kuwalinda. bodaboda akinigongea Nampa nahela mana atakua amenizidi vitu vingi Sana.
 
kitakacho kuepusha usichepuke wewe nisura yakotu. Kama niya baba hutaguswa hata ukifanya kazi miaka mia vinginevyo utadanganya tu.
We sema vyote kwasababu hunijui na wala sihitaji kuleta sura yangu humu maana mume alieniweka ndani ndo anatakiwa awe na lolote la kusema. Pili. Kama wanawake waliokuzunguka wanakigawa kama peremende bro hata wewe unaweza kula bila kukagua. Sisi wengine tuna kinyaa. Sio kila rungu la kusuuzia. Kwanini unalazimisha kwamba nakigawa ofisini. We mkeo analala na wanaume wa mtaa mzima ndo maana una uzoefu au? Pole sana naelewa maumivu yako. Ndo shida ya kuoa wanawake wa ndio ndio hata akiombwa tonge na wauza mboga hakatai.

Next
 
Bas badilisha mtazamo ukihishi kwa kitazamo ufiki mbali ao wanawek unawasema sisi tunaish nao tena kanizid elimu lakini anajua mipaka yake
hahaha unao wangapi mkuu ili nikupongeze? au unamiliki mmoja?
 
niweze kuoa wawili nishindwe kuwalinda. bodaboda akinigongea Nampa nahela mana atakua amenizidi vitu vingi Sana.
Sasa na mume wangu nae anasema wa ofisini wakinigongea itakua wamenizidi vingi sana. Kwasababu huwezi kuona mwanamke wa mwenzako hafai ilhali humjui. Alafu wa kwako ambae unamuona kwa zamu ndo awe msafi. Ndugu yangu wanakudanganya
 
sawa nimekuelewa mwanamke ambae hajawahi kuchepuka na hatokuja kuchepuka. ila nawapongeza hao malaika unaofanya nao kazi sijui wanakuchukuliaje Mana Mimi mwenyewe natamani nikutupie voko nione uwezo wako kwamba unayo sema unamaanisha au unafurahisha gengetu ili kuukataa unyonge
 
Mkuu, naomba niamini kwamba wewe ni male. Na nikupongeze kwa kuandika kisomi. Wewe ndo umenielewa japo hujaelewa kwanini mimi na wachangia mada tumepishana sana kauli. Kama umeona vizuri post yangu nilikua nalenga wale wanaotukana wanawake bila sababu. Inashangaza kwamba just because a woman works, or she makes her own money then automatically ni mjeuri, au feminist. Ukifatilia vizuri posts zingine za mtoa mada yuko against kabisa na suala la mwanamke kufanya kazi au kujishughulisha. Anasema ndo linalompa kiburi. Mara anatuita brainless gender, mara wanafki, calling us ‘female dogs’ lile tusi baya. Really? Nimefatilia posts zake hata za nyuma ni anatukana sana wanawake for no reason sijui walimfanya nini.

Nikuulize swali kaka yangu, wewe unataka kuoa mwanamke anaeshinda ndani 24/7? Hata kukiwa hamna chumvi akusubiri utoke kazini ununue? If the answer is yes then fine. If No, then ndo nnapopishana na wengi humu kwamba feminism haimaanishi mwanamke atafanya kazi aje akudharau. Kwanza hata hiyo
Terminology siifatilii na siitumii. Mimi
Naamini katika kuwa chini ya mume wangu. Awe kanizidi kipato au nimemzidi. He is my husband ndo maana nilitoka kwetu nikaenda kwake tena kwa mahari. Sasa ntakua na raha gani nampangia mwanaume maisha nyumbani, au namfokea fokea si bora basi ningebaki kwetu. Men should believe in their masculinity, mimi kwangu hata kama kitu naweza kufanya huwa naskia raha kumwambia hubby naomba njoo nisaidie kufanya hiki nimeshindwa, he feels like nauona umuhimu wake. Kanikuta najua kuendesha gari lakini tukiwa barabarani hata akifoka aah hapo umekosea sibishani namruhusu aone kwamba this is a masculine thing na mimi bado najifunza.

Kinachonishangaza humu jf ni kwanini wanaume waamini wanawake wanaojiamini, waliosoma au wenye pesa wanawadharau???? Mimi siwezi kuwa mwanaume na sitaki kuwa mwanaume. Na wao hivyo hivyo. Basi waache kutu downgrade na kutuita majina machafu.
 
 
Sasa nikikwambia mwanaume wangu alienioa ndo wa kwanza na wa mwisho kwa uweza wa M/Mungu si utabishana hadi unyauke. Yani nakuwa turned on na yeye tu. Ungeelewa hisia za mwanamke zinavyofanya kazi basi tusingefika huku na maelezo haya. The first thing that turns me on is my man being smart. Pili awe wangu. Sasa mwanaume wa mtu namvulia nguo alafu anaenda kwa mkewe. Seriously nakua nimejidhalilisha. We uliowala hawakutoshi? Mi hata uje na kichwa chini miguu juu kama kuna ulichomzidi mume wangu kwa care na huu upendo aisee basi utashinda. Ila ndo hivyo it will never happen.

Alafu, mimi sio hao wake za watu unaowala huko ofisini. Kwanini unalazimisha kwamba nnakigawa?🤣unanichekesha. You think you know all women kumbe you only know your women. How sad
 
wee muongo. kwamapepe ilo nayo utakua umepitiwa nawengi hadi ukampata huyo ulienae. nahata Mimi nikikutaka nakupata
 
Fact
 
Hata humu kuna feminists kibao, ila moyoni wanaumia
 
Ukweli mtupuu
 
Zamani ilikua Baba akienda, watoto wanasoma kwa shida,biashara zinakufa, maisha yana rudi nyuma N.k.... Tunafanya kazi na kusoma kupambana ili kujaribu kuli fix hilo sio kushindana
Damn! So you can fill the void of fatherlessness! How do you do that?[emoji848]
 
Una matatizo ya akili wewe, seek a doctor ASAP

Inferiority complex inakutafuna, pole sana
 
huo ndio uana ume. japo amukuzidi elimu ila mambo mengine umemzidi
😂😂😂😂 ndio ivyo elimu yake mimi hainihusu jana tu amepiga simu anatak niende morogoro wakati nimetoka juzi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…