t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
Unachosema ni kuwa mwanaume imara haogopi mwanamke imara ,Nilichogundua.. Jamii forums ina misogynists wengi sana. (You’ll need to google the term).
Mwanaume ambae anajiamini hatetereshwi na confidence ya mwanamke. Only inferiors feel intimidated by a woman’s confidence.
Yani unataka ukifika mahali kila msichana ainame kama kaingia mfalme? Ama?
Punguzeni inferiority complex automatically mtaacha kuchukia wanawake wanaojitambua. Hivi haki sawa kwani ni kwenye kuosha vyombo? Si ni fursa za kimaendeleo ama?
Wewe kamata kishoia wako wa ku bow down and stop downgrading women. Jiamini bro.!
Yani mada za humu utakuta ni wanaandamwa wanawake as if ni viumbe ambao hawaja wazaa? Like seriously mna shida kubwa kichwani. Mwanaume mwenye pesa na confidence zake haogopi mwanamke challenging. Ila inaeleweka mkikua mtaacha uoga😅
Mtoa mada hoja yake ni kuwa hakuna haja ya kuonyesha uimara kwenye maswala ya mahusiano!!
Theodory roosevelt , aliwahi sema' speak softly but carry a big stick. Hatua ya kutunishiana misuli na mwanamke ili ajue kuwa wewe ni kidume ndo watu hatuzitaki. By default mwanamkw anatakiwa ajue mwanaume ni mtawala , nothing more or less and this is unnegottiable!