Sipendi na sitaki ukaribu wala shobo na wanawake wenye vijitabia vya feminism

Sipendi na sitaki ukaribu wala shobo na wanawake wenye vijitabia vya feminism

Nilichogundua.. Jamii forums ina misogynists wengi sana. (You’ll need to google the term).

Mwanaume ambae anajiamini hatetereshwi na confidence ya mwanamke. Only inferiors feel intimidated by a woman’s confidence.

Yani unataka ukifika mahali kila msichana ainame kama kaingia mfalme? Ama?

Punguzeni inferiority complex automatically mtaacha kuchukia wanawake wanaojitambua. Hivi haki sawa kwani ni kwenye kuosha vyombo? Si ni fursa za kimaendeleo ama?

Wewe kamata kishoia wako wa ku bow down and stop downgrading women. Jiamini bro.!

Yani mada za humu utakuta ni wanaandamwa wanawake as if ni viumbe ambao hawaja wazaa? Like seriously mna shida kubwa kichwani. Mwanaume mwenye pesa na confidence zake haogopi mwanamke challenging. Ila inaeleweka mkikua mtaacha uoga[emoji28]
Yn umewasilisha Yale yote yalokuw moyon mwangu thank you
 
Nilichogundua.. Jamii forums ina misogynists wengi sana. (You’ll need to google the term).

Mwanaume ambae anajiamini hatetereshwi na confidence ya mwanamke. Only inferiors feel intimidated by a woman’s confidence.

Yani unataka ukifika mahali kila msichana ainame kama kaingia mfalme? Ama?

Punguzeni inferiority complex automatically mtaacha kuchukia wanawake wanaojitambua. Hivi haki sawa kwani ni kwenye kuosha vyombo? Si ni fursa za kimaendeleo ama?

Wewe kamata kishoia wako wa ku bow down and stop downgrading women. Jiamini bro.!

Yani mada za humu utakuta ni wanaandamwa wanawake as if ni viumbe ambao hawaja wazaa? Like seriously mna shida kubwa kichwani. Mwanaume mwenye pesa na confidence zake haogopi mwanamke challenging. Ila inaeleweka mkikua mtaacha uoga😅
Wewe ni mmoja ya fermist aliwaoongelea jamaa
 
Femenism imetengenezwa na wanaume kwa Azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa Na.1325/2000 kupitia kanuni ya kuinua usawa wa kijinsia katika mkataba wa NEPAD na utekelezaji wa Tamko la Dakar la 1994 na utekelezaji la Beijing 1995.

Wanawake mama zetu akina Getruda Mongela walikaa Beijing 1995 kupanga utekelezaji wa kilichopangwa na wanaume zaidi .

Sasa huo usawa wa kijinsia sio jini lililoshindikana ,binadamu hawezi kuishinda natural .

Natural itabalansisha mambo ,wanaume watabaki wanaume tu ndio waliopewa adhama na Mungu kuwa viongozi kama ndio waliasisi usawa wa jinsia amini ndio hao hao wanaundesha mfumo huu

Katika binadamu wote ni wamasai tu tena wamasai wanaume ndio huvamia nyika na kuua Simba awe dume au jike .Wanaume kujifunza kwenda na mabadiliko yanayopangwa na masai wa Dunia na kuacha kulia lia ,mwanamke ni mwanamke tu hata awe na nguvu kiasi gani ni kama Simba jike ,Simba jike anaogopwa na wanyama wote lakini akija Simba dume anagwaya ,juzi tumeaangalia vita ya kuangusha utawala wa Simba bob Junior , waliopambana ni masimba dume,masimba jike yalikaa mbali na vile vita ,madume yakigombania utawala .

Wanaume na Vijana wa Sasa jifunzeni mbinu za kugombania utawala wa jinsia , femenism wanaolewa tena vizuri tu unatakiwa uwajulie sisi wengine tuliosema Cuba na Guantanamo hatupati shida na femenism ,urafiki na kuoa ni uchaguzi wa mtu, nawapatia moyo hasa Vijana wanaojikuta kwenye mahusiano na femenist sababu somo la u femenism umeshamiri sana sisi wakaka wa zamani tunabudi kuwapa darsa Vijana wa kileo wanaotaka kuanzisha uchumba na kuoana na feminist wajue inawezekana ili mradi wajifunze jinsi ya kushinda changamoto za femenist inawezekana ,bob juniors wanaweza sembuse binadamu mwenye mbinu nyingi za kujifunza uongozi,ushujaa ,ubaba .somo jinsi ya kuendana na feminist nitafundisha siku ingine,alamsiki
 
Peace be upon you all.

Nimekuja kugundua wanawake wenye vijitabia vya ufeminism sina muda wala sitaki shobo nao hata punje.

Binafsi ni mwanaume ninaeamini katika jinsia tofauti zenye majukumu tofauti, yani mwanaume ni mwanaume na nafasi yake haiwezi kuchanganywa na mwanamke hali kadhalika mwanamke ni mwanamke na nafasi yake kamwe haiwezi kulinganishwa au kusindanishwa na mwanaume.

Nikisikia tu mwanamke analeta mind set za haki sawa bla bla bla hata kama ni ndugu taratiibu namuondoa katika kundi la watu ninaowasiliana nao. Nawaona kama madume jike na nakosa positive vibes kabisa kwa hawa viumbe, watanisamehe tu.

Kinyume chake nimekuwa navutiwa sana na wanamake wanaoikubali nafasi yao kama wanawake, hawajishindanishi wala kujilinganisha na wanaume. Nakiri wazi nawapenda sana wanawake hawa Mungu awape mairha marefu.

Hali hi ya kutotaka ukaribu na "masupawuman" imenisababisha kuwaweka kando wanawake wengi na kuonekana naringa na sina time ya kuwaeleza kwanini nimewaweka kando kwasababu siwezi hata kuongea na wanawake mafeminists naona napoteza muda wangu kwa viumbe wanaofake mambo, limbukeni na wajinga wa utandawazi.
Hii ni asili ya wanaume tulivyo 50/50 ni ngumu mwanaume kui accept akikubali ni shingo upande ni basi Hana namna
 
Watu waoga. Mwanamke akisoma na akipata kazi tayari inawauma
Kusoma na akiwa na kazi watu wasiwe na uoga ibaki tu huyu mwanamke aplay part kwamba ni mwanamke kama ameolewa basi awe mke asivae ubaba Kuna vitu hawezi kuwa baba by nature
 
Back
Top Bottom