Sipendi na sitaki ukaribu wala shobo na wanawake wenye vijitabia vya feminism

Sipendi na sitaki ukaribu wala shobo na wanawake wenye vijitabia vya feminism

Unapenda sana argument sijajua kwanini? Umeona kosa ulilolifanya ambalo unawalaumu wenzako na kutukanana nao.
Usinichoshe. We ungetukanwa pamoja na mzazi wako ungekaa kimya? Em pita kule kabla sijakuungia
 
Usinichoshe. We ungetukanwa pamoja na mzazi wako ungekaa kimya? Em pita kule kabla sijakuungia
Bado unarudi kulekule, sijui kuniungia seriously tena kwenye social media 😂😂😂. Kwakuwa aliyeanza kutukana wazazi ni nyie,wao waliwagusa nyinyi tu ila achana na mambo ya blaming. Najua bado hujaona kosa lako, busara kwanza sister.
 
Rudi tena kwenye conversations alafu anza kusoma nani kaanza kutoa matusi. We mtu anakuita neno B!*ch utanyamaza. Anakuja anaongezea tusi la mama ako. Niache tu aisee the next time ukinitag hutopenda.
 
Again seriously unataka kutishana on social medias😂😂😂, siunajua maneno hayaui. Aliyeanzisha matusi ni mtoa mada ila kuwaingiza wazazi mlianza nyie. 😂😂😂 still hujaona kosa lako ambalo umelitumia kujudge wenzio unajua.
 
Hakuna dhambi mbaya kama mwanamke kumpelekesha, kumpoka mamlaka mume wake,, yani mke kuwa mume na mume kufanywa mke,,

Hakuna dhambi mbaya mwanaume kumtegemea mwanamke yani ahudumiwe na mkewe,

Ndoa nyingi za sasa tunaishi humo ndo maana mambo ni vangavanga
 
IMG_20221216_161428_666.jpg
 
Peace be upon you all.
Nimekuja kugundua wanawake wenye vijitabia vya ufeminism sina muda wala sitaki shobo nao hata punje.
Binafsi ni mwanaume ninaeamini katika jinsia tofauti zenye majukumu tofauti, yani mwanaume ni mwanaume na nafasi yake haiwezi kuchanganywa na mwanamke hali kadhalika mwanamke ni mwanamke na nafasi yake kamwe haiwezi kulinganishwa au kusindanishwa na mwanaume.
Nikisikia tu mwanamke analeta mind set za haki sawa bla bla bla hata kama ni ndugu taratiibu namuondoa katika kundi la watu ninaowasiliana nao. Nawaona kama madume jike na nakosa positive vibes kabisa kwa hawa viumbe, watanisamehe tu.
Kinyume chake nimekuwa navutiwa sana na wanamake wanaoikubali nafasi yao kama wanawake, hawajishindanishi wala kujilinganisha na wanaume. Nakiri wazi nawapenda sana wanawake hawa Mungu awape mairha marefu.
Hali hi ya kutotaka ukaribu na "masupawuman" imenisababisha kuwaweka kando wanawake wengi na kuonekana naringa na sina time ya kuwaeleza kwanini nimewaweka kando kwasababu siwezi hata kuongea na wanawake mafeminists naona napoteza muda wangu kwa viumbe wanaofake mambo, limbukeni na wajinga wa utandawazi.
 
Yani hapa ndo nnapocheka hadi nachoka[emoji1787] nani anaoa lofa saizi labda wewe. Endelea kuwashauri watoto ila wanaume wenye akili wanachukua wanawake waliosoma na wenye heshima.
mkuu kwahyo mwanmke ambae ajasoma ni lofa !!
mim nlkuw nakuona una fact... infact mm napendag sna mwnmke confident, smart flexible na mwnye atanipa changmoto za utafutaji lakin ww ni MBWAA yan unatukana mama zetu ksa ww umesoma elimu yako isikupe kiburi..
nilikuw natafakari hapa ila inaonekan wnawake kama ww ambao mnaelimu na vibur ndy mana wakuu wengi apa wamkuja wanaponda mnaharbia wengne elmu yako iskufanye ukaruka kiunz na kuupinga ukuu wa mwnaume kwnye dunia ni MUNGU kauweka si PIMBI kama ww
 
Wamekimbia topic,lol.....hongereni kwa kujadili kwa points Mrs Fulani2022 pamoja na Blessed woman ,mna busara sana,wengine ingekuwa war ya matusi kwa kwenda mbele.......
Unauhakika madam, najua wameanza kwa matusi ila waliokuja kujibu nao walikuwa hawanabusara hivyohivyo na kuna mwingine alinifuata hadi kwenye pm kunijibu kwa matusi😂😂😂😂 sijui alijua humu ni duniani. I can screenshot the convo ukitaka! Naalikuwa akiwasafisha wanawake, nakwaujumla sikumtukana nilimuuliza maswali ya akili tu akashindwa kujibu.
 
walikua provoked too much
 
walikua provoked too much
Only a foolish man can be provoked by social media. Na infurther circumstances, only a stupid man can get into one on one conversation with curses because I barely even know you.
 
Only a foolish man can be provoked by social media. Na infurther circumstances, only a stupid man can get into one on one conversation with curses because I barely even know you.

people on social media are real people not ghosts, so yes if you feel insulted it’s only normal to react, it doesn’t matter if it’s social media or not, it’s natural to react on too much provocation…
 
mkuu kwahyo mwanmke ambae ajasoma ni lofa !!
mim nlkuw nakuona una fact... infact mm napendag sna mwnmke confident, smart flexible na mwnye atanipa changmoto za utafutaji lakin ww ni MBWAA yan unatukana mama zetu ksa ww umesoma elimu yako isikupe kiburi..
nilikuw natafakari hapa ila inaonekan wnawake kama ww ambao mnaelimu na vibur ndy mana wakuu wengi apa wamkuja wanaponda mnaharbia wengne elmu yako iskufanye ukaruka kiunz na kuupinga ukuu wa mwnaume kwnye dunia ni MUNGU kauweka si PIMBI kama ww
Unataka unirudishe tena kwenye dhambi ya kuchambana. Kuna sehemu nimeandika mwanamke ambae hajasoma ni lofa? Au ni kuwashwa tu ili mradi na wewe uonekane umeandika. Kwanza Mbwa mwenyewe, pili wanawake wote unaowaona kule masokoni unadhani elimu ni kigezo? Kuna hadi wenye degree na wanauza matunda. Na wengine elimu hawana ila ukiwakuta mashambani wanavuna wanauza na kutunza familia zao.

Kabla hujaparamia mada jifunze kwanza kuelewa. Lofa ni mtu ambae hajitambui. Either awe amesoma au hajasoma hajishughulishi ana mtegemea mwanaume kwa kila kitu.

Wangapi wana degree na hawataki kufanya kazi? Na wangapi hawajasoma ila wanalea watoto wao. Koma kuniparamia kwenye comments kama hujaelewa. Narudia tena mbwa mwenyewe
 
Nilichogundua.. Jamii forums ina misogynists wengi sana. (You’ll need to google the term).

Mwanaume ambae anajiamini hatetereshwi na confidence ya mwanamke. Only inferiors feel intimidated by a woman’s confidence.

Yani unataka ukifika mahali kila msichana ainame kama kaingia mfalme? Ama?

Punguzeni inferiority complex automatically mtaacha kuchukia wanawake wanaojitambua. Hivi haki sawa kwani ni kwenye kuosha vyombo? Si ni fursa za kimaendeleo ama?

Wewe kamata kishoia wako wa ku bow down and stop downgrading women. Jiamini bro.!

Yani mada za humu utakuta ni wanaandamwa wanawake as if ni viumbe ambao hawaja wazaa? Like seriously mna shida kubwa kichwani. Mwanaume mwenye pesa na confidence zake haogopi mwanamke challenging. Ila inaeleweka mkikua mtaacha uoga[emoji28]
Mwingine huyu hapa
 
Feminist raha yao sio WANYIMI. Unajipigia tu, Ni vichaa wale, they can really su.ck a d.i.ck.... Ila mke tafuta TRADITIONAL WOMAN.
Mtu ambaye siyo mke wako ni rais kumwambia kufanya chochote lakin mke wako ngumu sana Kwa unakuwa unamueshimu
 
Eti usawa, unatokea wapi? Ili iweje?
huyu ana tundu moja , yule ana tundu mbili huo usawa utokee wapi?
kama ni mwana harakati ziba tundu moja, kojoa Kwa kusimama kama unaona tunafaidi
 
Back
Top Bottom