mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
Wana time na yeye thats why wapo kwenye uzi wake na wame quote.Sidhani kama na wao wana time na wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana time na yeye thats why wapo kwenye uzi wake na wame quote.Sidhani kama na wao wana time na wewe
Nope, its you who seems to be healed not themHii jamii tuliyopo wanawake mnatakiwa mkae kimya. Hata mtukanwe vipi msinyanyue midomo kuteteana. Ukiongea tayari ni adui. Ila nilichogundua people need to heal, wameumizwa sana na wanawake wa aina flani.
Unapaswa kuwa na hekima sana kwenye dunia hii.Peace be upon you all.
Nimekuja kugundua wanawake wenye vijitabia vya ufeminism sina muda wala sitaki shobo nao hata punje.
Binafsi ni mwanaume ninaeamini katika jinsia tofauti zenye majukumu tofauti, yani mwanaume ni mwanaume na nafasi yake haiwezi kuchanganywa na mwanamke hali kadhalika mwanamke ni mwanamke na nafasi yake kamwe haiwezi kulinganishwa au kusindanishwa na mwanaume.
Nikisikia tu mwanamke analeta mind set za haki sawa bla bla bla hata kama ni ndugu taratiibu namuondoa katika kundi la watu ninaowasiliana nao. Nawaona kama madume jike na nakosa positive vibes kabisa kwa hawa viumbe, watanisamehe tu.
Kinyume chake nimekuwa navutiwa sana na wanamake wanaoikubali nafasi yao kama wanawake, hawajishindanishi wala kujilinganisha na wanaume. Nakiri wazi nawapenda sana wanawake hawa Mungu awape mairha marefu.
Hali hi ya kutotaka ukaribu na "masupawuman" imenisababisha kuwaweka kando wanawake wengi na kuonekana naringa na sina time ya kuwaeleza kwanini nimewaweka kando kwasababu siwezi hata kuongea na wanawake mafeminists naona napoteza muda wangu kwa viumbe wanaofake mambo, limbukeni na wajinga wa utandawazi.
Huyu hapa kaja, mi simo📌Nilichogundua.. Jamii forums ina misogynists wengi sana. (You’ll need to google the term).
Mwanaume ambae anajiamini hatetereshwi na confidence ya mwanamke. Only inferiors feel intimidated by a woman’s confidence.
Yani unataka ukifika mahali kila msichana ainame kama kaingia mfalme? Ama?
Punguzeni inferiority complex automatically mtaacha kuchukia wanawake wanaojitambua. Hivi haki sawa kwani ni kwenye kuosha vyombo? Si ni fursa za kimaendeleo ama?
Wewe kamata kishoia wako wa ku bow down and stop downgrading women. Jiamini bro.!
Yani mada za humu utakuta ni wanaandamwa wanawake as if ni viumbe ambao hawaja wazaa? Like seriously mna shida kubwa kichwani. Mwanaume mwenye pesa na confidence zake haogopi mwanamke challenging. Ila inaeleweka mkikua mtaacha uoga😅
Upo nje ya mada jikite kwenye madaKwenye huu uzi, kwa mtu mwenye akili tulivu atatoka kajifunza vingi sana especially akiweka kando mihemuko ya kihisia na akachambua facts.
Tatizo ni kwamba we men are very emotional creatures than we care to admit which unfortunately often clouds our judgment.
Ukitaka kuthibitisha hilo pitia comments. Nyingi ziko na emotional outbursts kuliko hoja za msingi.
Yaani brooo umenene vyema na mungu wa mbinguni akubariki na ndivyo ilivyo toka vizazi na vizazi sio hao wajinga wanaoj8weka upande wa utandawazi wa kipumbavu mi mwenyewe huwa nawaona kama wa2 wanaodandia waschokijua tangu lini mwanamke na mwanaume wakawa sawa 😩😩😩Peace be upon you all.
Nimekuja kugundua wanawake wenye vijitabia vya ufeminism sina muda wala sitaki shobo nao hata punje.
Binafsi ni mwanaume ninaeamini katika jinsia tofauti zenye majukumu tofauti, yani mwanaume ni mwanaume na nafasi yake haiwezi kuchanganywa na mwanamke hali kadhalika mwanamke ni mwanamke na nafasi yake kamwe haiwezi kulinganishwa au kusindanishwa na mwanaume.
Nikisikia tu mwanamke analeta mind set za haki sawa bla bla bla hata kama ni ndugu taratiibu namuondoa katika kundi la watu ninaowasiliana nao. Nawaona kama madume jike na nakosa positive vibes kabisa kwa hawa viumbe, watanisamehe tu.
Kinyume chake nimekuwa navutiwa sana na wanamake wanaoikubali nafasi yao kama wanawake, hawajishindanishi wala kujilinganisha na wanaume. Nakiri wazi nawapenda sana wanawake hawa Mungu awape mairha marefu.
Hali hi ya kutotaka ukaribu na "masupawuman" imenisababisha kuwaweka kando wanawake wengi na kuonekana naringa na sina time ya kuwaeleza kwanini nimewaweka kando kwasababu siwezi hata kuongea na wanawake mafeminists naona napoteza muda wangu kwa viumbe wanaofake mambo, limbukeni na wajinga wa utandawazi.
Hakuna feminism aliye na time na mwanaume mwenye mfume dume wake. And the vice versaWana time na yeye thats why wapo kwenye uzi wake na wame quote.
Sio kwelimasingo maza wengi niwanawake walio soma na wameajiriwa.hawandio wanawake viburi wakiona nawao wanaamka asubuhi nakwenda kazini nao wanajikuta vidume. jeuri kibao kwawaume zao mwisho wasiku wanaachika nakuja kutuharibia jamii Mana ndio wanaongoza kulea watoto mashoga nawasagaji
ukweli niupiSio kweli
Ukweli ni kwamba sio masingo Maza wote wamesoma,wapo watu wamesoma na wanawaheshimu waume zao vizuri TU,lkn pia wapo wanawake wa la Saba lkn wanawapelekesha waume zao kinoma yani,on the other hand si kweli kuwa watoto wa masingo Maza ni mashiga anaweza akawa na wazazi wote wawili na akawa shoga piaukweli niupi
ndio mana nikasema wengi Bali sio woteUkweli ni kwamba sio masingo Maza wote wamesoma,wapo watu wamesoma na wanawaheshimu waume zao vizuri TU,lkn pia wapo wanawake wa la Saba lkn wanawapelekesha waume zao kinoma yani,on the other hand si kweli kuwa watoto wa masingo Maza ni mashiga anaweza akawa na wazazi wote wawili na akawa shoga pia
Tupa kule mafenism hawana maanaPeace be upon you all.
Nimekuja kugundua wanawake wenye vijitabia vya ufeminism sina muda wala sitaki shobo nao hata punje.
Binafsi ni mwanaume ninaeamini katika jinsia tofauti zenye majukumu tofauti, yani mwanaume ni mwanaume na nafasi yake haiwezi kuchanganywa na mwanamke hali kadhalika mwanamke ni mwanamke na nafasi yake kamwe haiwezi kulinganishwa au kusindanishwa na mwanaume.
Nikisikia tu mwanamke analeta mind set za haki sawa bla bla bla hata kama ni ndugu taratiibu namuondoa katika kundi la watu ninaowasiliana nao. Nawaona kama madume jike na nakosa positive vibes kabisa kwa hawa viumbe, watanisamehe tu.
Kinyume chake nimekuwa navutiwa sana na wanamake wanaoikubali nafasi yao kama wanawake, hawajishindanishi wala kujilinganisha na wanaume. Nakiri wazi nawapenda sana wanawake hawa Mungu awape mairha marefu.
Hali hi ya kutotaka ukaribu na "masupawuman" imenisababisha kuwaweka kando wanawake wengi na kuonekana naringa na sina time ya kuwaeleza kwanini nimewaweka kando kwasababu siwezi hata kuongea na wanawake mafeminists naona napoteza muda wangu kwa viumbe wanaofake mambo, limbukeni na wajinga wa utandawazi.
Sista, majibu yako mengi umeyadirect kwa wazazi, acha. Mnaongea na kulumbana nyie, kutukaniana wazazi sio hekima wala busara kabisaa. Acha, mamana baba yake ni mama na baba yake pia mama yako na baba yako ni mama na baba yako. Busara itumikeHiyo point ya mwisho ya msingi sana. Mimi
Kuwa na kazi hakunifanyi automatically niwe na dharau!!! So niache kazi nibaki nyumbani ili mume wangu ajione mwanaume? Really? Sasa baadhi ya wanaume wa humu jf wakiona mwanamke anafanya kazi au anasema kitu flani tayari ni feminist. Mbona aibu.
Au niwaulize, mama zao wote ni wamama wa nyumbani? Na wale wa vijijini wanaoshinda majumbani mbona bado ndoa zinawashinda wana kazi gani zinazowafanya wadharau waume zao. Aisee unaweza kujiuliza maswali ukabaki kusema hii karne ya 21 bado kuna watu wanaishi ki BC.
Yaani kwanini mnakimbilia kitukans wazazi! Nahii naona wanawake mmeishupalia sana. Mnajua kuwa wote mliotukanana mnajidharirisha simwanaume wala mwanamke ila kwanini wazazi sasa?Mbwa mama ako na baba ako shindwa na ulegee nyoko
Ina maana wewe huoni wanaume wenzio wanavyotukana viungo vya uzazi vya mama zetu? Au kwa kuwa ni wanaume wana haki na wajibu wa kututukania wazazi? Double standard hizo ndo zinazopeleka watu kudharau uwezo wa kufikiri wa hao hawaoilazimisha sana heshima. Respect ni two way.Sista, majibu yako mengi umeyadirect kwa wazazi, acha. Mnaongea na kulumbana nyie, kutukaniana wazazi sio hekima wala busara kabisaa. Acha, mamana baba yake ni mama na baba yake pia mama yako na baba yako ni mama na baba yako. Busara itumike
Unapenda sana argument sijajua kwanini? Umeona kosa ulilolifanya ambalo unawalaumu wenzako na kutukanana nao.Ina maana wewe huoni wanaume wenzio wanavyotukana viungo vya uzazi vya mama zetu? Au kwa kuwa ni wanaume wana haki na wajibu wa kututukania wazazi? Double standard hizo ndo zinazopeleka watu kudharau uwezo wa kufikiri wa hao hawaoilazimisha sana heshima. Respect ni two way.