Sipendi na sitaki ukaribu wala shobo na wanawake wenye vijitabia vya feminism

Sipendi na sitaki ukaribu wala shobo na wanawake wenye vijitabia vya feminism

exactly!😂😂😂
Weak men wanachefua. Kwanini hamjiaminiiii mwanamke mmoja kawapeleka peleka puta mnatafuta vichombwezo badala ya kujibu hoja. Ndo maana huwa naskia kuna wanaume wanapigwa nilikua sijui sababu wengine ni wapumbavu
 
Itakua ndoa ilikushinda au huoleki
 
Weak men wanachefua. Kwanini hamjiaminiiii mwanamke mmoja kawapeleka peleka puta mnatafuta vichombwezo badala ya kujibu hoja. Ndo maana huwa naskia kuna wanaume wanapigwa nilikua sijui sababu wengine ni wapumbavu
weak men,
mwanamke mmoja kuwapeleka puta,
tunatafuta vikorombwezo.
mbona kama umepaniki sana?shida nn ebu nambie nikusaidie mrembo
 
Mimi napenda wanawake wanao twerk fesibuku... Aloo miaka hii mameni tunainjoi... Mambo nje nje dah... Bakari nondo kupenda mwenyewe tu.
Naona fahari sana kuwa zama izi
 
Mimi mwanamke kama ni mpambanaji hata akiwa kawa mwanaume au akidai haki sawa kwangu naona ni sawa tu

Ila nachukia kuona hivi ambavyo havina chochote,havina mchango wowote katika familia zaidi ya kuongeza idadi ya watu tu,unakuta nako kanajimwambafai na kudai haki sawa
Awe na tackle
 
Mimi napendaga watu wabishi Kama wewe. halafu usijisifie huna hazi yoyote wewe wakawaidatu. nakama unajiamini kwanini unaogopa kuongezewa mke mwenzio? huo nioga sio kujiamini Kama unajiamini mwache aongeze mwingine
Aah
 
Nikikujibu ntakuvunjia heshima wallah[emoji1787] unipate kwa kipi? Yaani unaanzaje? Unadhani kila mwanamke ni sampuli kama uliyonayo? Hadi wanakubali kuoleana mke
Wa pili ni kwamba hawana pa kwenda. Japo dini inaruhusu. We ongeza hao mabwanyenye wa kuwafuga ndani wazalishe kama kumbikumbi. Hapa wamefeli wenzako wenye hadhi zao. We mwenye
Dhana za kizee nakupeleka wapi mie[emoji1787][emoji1787] usinchekeshe huwa mnatulazimisha tuwajibu alafu mmakuja kutuita majina.

Ka
Ni hivyo
Si
Ningekua nishamaliza wanaume wa jf. Ebo
Duh
 
Unadhani wanawake wote wanapapatika na ndoa kwa wanaume wa design yako. Nna miaka mingi tu kwenye ndoa. Nimeolewa na naishi kwa furaha na mwanaume anaejiamini. Sio punga kama wewe
Wanawake wenye kauli Kama zako hawawezi kuwa kwenye ndoa,wewe wanafanyia mazoezi,kujaribia style na dawa za nguvu za kiume,wanawake waloolewa Wana lugha zao
 
Mi nataka yenye utelezi na harufu yake ile original,siyo yako uliyotoa ndimu,shabu,mgagani,ugolo,pipi Kali..imepoteza uhalisia,ipo Kama sufuria bovu
Usingepita kuja duniani kupitia hiyo inayotoa hizo harufu ungejuaje? Una uzoefu
 
Wanawake wenye kauli Kama zako hawawezi kuwa kwenye ndoa,wewe wanafanyia mazoezi,kujaribia style na dawa za nguvu za kiume,wanawake waloolewa Wana lugha zao
acha kelele weweee nisije nikakukosesha ada ya shule. Kuwa na adabu na mama ako mdogo
 
Usingepita kuja duniani kupitia hiyo inayotoa hizo harufu ungejuaje? Una uzoefu
Nimecheka😹😹😹😹😹 kwamba anatukana wanawake anasahau na ya mama ake mzazi nayo inaingia kwenye hilo kundi. Hivi wanadhani sisi tunatetereka na hivyo vineno vya K. Ndo wanakopita na ndo zinawafanya wanauza viwanja shenzi type😹
 
Aaiii anajifanya anayajua matusi. Mwanamke unamtukanaje swala la K wakati ndo starehe ya baba ake🤣 waambie hao. Watu wanauza mali za urithi kisa hizo hizo. Ye wa form 2 kakremisha matusi ya kitoto huyu dawa yake unamnyonyesha tu kanaamka asubuhi kako hoiiii kanaomba maji. Nyambafffff
 
Back
Top Bottom